Search results

  1. M

    TRA na ushuru wa kuingiza gari

    Mkuu hii ni shida nyingine, baada ya Waziri mkuu kuwavamia hawa maBw, usilogwe upitishe kakontena kako hata kenye viberiti ndani, hawa jamaa wa TRA wanataka sifa sasa, unapigwa hata 30M, hutaki cha moto utakiona na hakuna ku appeal popote
  2. M

    Makampuni makubwa sugu yasiyolipa kodi Tanzania

    UFUFUO nA Uzima, mzee wa maharage ya wapi??!
  3. M

    Wachina hawa wana viwanda majumbani, Je, TRA mnajua?

    Hakuna pa kuripoti chochote nchi, Rais tupatie direct line zako au mtu wako wa karibu, wasiolipa kodi Nchi hii ni wengi mno, wageni nafkiri ndiyo hawaguswi akabisa
  4. M

    Majaribio ya kupata leseni hakuna tena

    Majaribio zamani wakati wa Nyerere, hapo Myfair vishoka wamejaa kila corner, Hao ma Trafic wetu ndiyo wauzaji wakubwa wa hizo leseni
  5. M

    Ni wakati wa kumfahamu mmiliki halisi wa mashine za EFD

    Tanzania nchi ya maajabu sana,EFD kwenye petrol station hazina VAT, Wenye vituo vya mafuta nafkri nao wameshamfunga Mtoto wa mfalme Kamba za viatu.
  6. M

    Serikali ya mtaa Mbezi Beach mnatuonea

    Jilinde mwenyewe, Nunua manati ya mzungu, washa mara 1 kila mwezi, utakaa uwasikie hao vibaka
  7. M

    Nimeibiwa simu yangu na wakaguzi wa uwanja wa ndege

    We mwenyewe ndo Haule nini unajitengenezea mchongo, haji mtu
  8. M

    Hizi hapa ambulance bajaj made in Mwanza, Tanzania

    Binafsi sijaona kama kuna ubunifu wowote hapo...
  9. M

    Lowassa apigwa shinikizo kali

    Ushauri wa porini!
  10. M

    Babu wa Loliondo revisited: Je wananchi tuna haki ya kujua kilichowasibu hawa viongozi wetu?

    Viongozi wetu wengi wana uhaba wa akili tu,siyo kingine
  11. M

    Upambe wa Urais: Mke wa mtu ajiuza Dodoma

    Mkuu tuko wengi kina Jumbura
  12. M

    Wizi wa Fastjet, TCAA mpo kweli?

    Wengi humu hayajawakuta....utatamani ardhi ipasuke tena zaidi kama uko na wageni wa nje..hi kitu fastjet sitaki hata kusikia,nakula basi kama kawa na story nyingi mpaka nafika nakokwenda..wafanyakazi wake ndiyo kero zaidi ya hiyo Fastjet
  13. M

    Msaada: Ubora wa magari ya Be Forward

    Rahisi ni aghali, hizo kampuni zina Siri kubwa ila wa bongo uelewa mdogo,
  14. M

    Jeshi la Polisi latangaza donge nono la Tsh. 50,000,000/=

    Mkuu huko sahihi, jeshi letu la polisi ndiyo wahusika wakuu, kuna vielelezo lukuki hapo ila wanajifanya hawaoni,kazi kubwa ya polisi ni kulinda wahalifu kwani ndiyo wanawaweka mjini
  15. M

    Kahawa: Tanzania maarufu tena Duniani

    Nimeikuta kwenye rapid za Japan pia
  16. M

    Mzumbe Secondary Alumni

    Hongereni sana wakuu, nitupieni kapicha kamoja ka hapo bwenini kwangu( mkwawa no.1) kijiji
  17. M

    Hivi ni Kwanini driving schools hutumia magari chakavu?

    Unazungumzia nchi gani mkuu?? Tanzania kuna MLIMANI driving school,ziko kila kona ya jiji la dsm na gari zote mpya kwa nyumbani.
  18. M

    Naomba kujuzwa washauri wa Prof. Jakaya M Kikwete!

    Hawa jamaa wanaomsikiliza wamekula kweli??
  19. M

    Parking Fees kila mahali - tunaenda wapi?

    Mimi naona wenye biashara kubwa kubwa kama mabenki ni wa..puu.zi wa kwa kwanza kabisa kama wapangaji wakubwa wa mlimani city kwani ni wa kubali huu u.pu.uzi ,wanategemea wateja wao watapaki wapi na walivyokuwa na mafoleni kwenye mabenk yao,pa..mb.,fu kabisa.
Back
Top Bottom