Search results

  1. DISPLEI

    Ubovu wa barabara za mitaani maeneo mbali mbali

    Barabara za mitaani maeneo mbali mbali zimeharibika sana. Sasa hivi ukitaka kutoka kwenda kwenye shughuli za kila siku, mwenye gari unaaza kulihurumia linakopita kabla ya kufika kwenye barabara yenye unafuu. Kwa nilikopita nikichukulia mfano Dar es Salaam ukitoka barabara kuu maeneo mengi yako...
  2. DISPLEI

    Nini Suluhu ya tatizo la foleni barabarani mvua zikinyesha

    Tatizo la foleni barabarani limekuwa likijirudiarudia kila mvua kubwa zikinyesha. Ukiangalia, chanzo kikubwa ni baadhi ya njia za kuingia na kutoka maeneo mengi hasa mjini kutopitika kutokana na kujaa maji hivyo kufanya magari kutegemea njia chache. Ikishakuwa hivyo kila mtu anakuwa na uharaka...
  3. DISPLEI

    RUWASA Mnachelewesha Sana Malipo ya Wakandarasi

    Kuna Kandarasi nyingi za miradi ya maji chini ya RUWASA zinazoendelea na zilizokamilika lakini malipo yanachelewa sana. Watendaji wa RUWASA kuanzia ngazi za wilaya hadi makao makuu hawaonekani kujali machungu wanayoyapata wakandarasi kutumia hela zao kutekeleza maradi hii. Kuna madeni ya...
  4. DISPLEI

    Wagombea Ubunge 2020

    Nimekutana na watu kadhaa wanaoutaka Ubunge kwa mwaka 2020. Watu hao wako umri wa miaka ya 30 hadi 50. Wana elimu zao za juu lakini unakuta mtu kapigika kweli kweli na ana zaidi ya miaka 10 mtaani. Wengine ni wa kiume hata kupanga chumba hawajaweza wanakula na kuishi kwa wake zao. Wapo hata...
  5. DISPLEI

    Kero za Rushwa Trafic kituo cha Mwendo Kasi - Ubungo Kibo

    Hivi karibuni Trafic Police wanakaa sambamba na kituo cha Ubungo Kibo kuzuia magari yasipite njia ya mwendo kasi (kuelekea Ubungo). Sambamba na kituo hicho, kuna kituo cha daladala pia na bajaji zinapakia na kushusha. kutokana na pilikapilika mahali hapo, waendesha magari kuna wakati...
  6. DISPLEI

    Uchaguzi wa nyumba ya Kupanga

    Najiuliza naomba tushirikishane uzoefu kuhusu nyumba za kupanga. Nia ni iwapo mtu anataka kujenga nyumba zaidi ya moja kwenye kiwanja kimoja, wapangaji wenye vipato vya kati na kuendelea wanapendelea nini! Namaanisha nyumba za kodi ya TZS300,000 au zaidi kwa mwezi. Tuseme nyumba yenye vyumba...
  7. DISPLEI

    Utapeli kwa mitandao ya simu umezidi

    Kuna huu utapeli ambao umezagaa sana mitandaoni wa kuwataka watu watume hela kwenye namba fulani, mara kuna mganga kanisaidia, mara nafanya biashara ya madini, kugawa bonus n.k. Kweli kuna watu wametapeliwa na wanaendelea kutapeliwa. Hivi kwa nini mitandao ya simu na TCRA wasiweke...
  8. DISPLEI

    Ukaguzi wa Leseni za biashara maduka ya mtaani

    Hili suala la ukaguzi wa maduka kubaini wasio na lesseni, vyeti vya afya, chombo cha kuwekea uchafu n.k. ni deal na maofisa wa serikali wananemeekea huko. Anakuja mtu mmoja huyo huyo afisa biashara wa leseni. Huyo huyo TRA, afisa afya. Mwenye duka anaitwa kwa mtendaji. Akifika anatishiwa...
  9. DISPLEI

    Hawa Markson na madawa ya kuongeza Viungo Serikali iwamulike

    Kuna hii taarifa inazunguka mitandani. Hawa watu nasikia wapo tangu mwaka jana, na eti kwa wanaume ukitaka urefu wa inch 6 ina double hadi 12, kwa wanawake makalio yanatepeta. na pia eti hawana dawa za kurekebisha makosa hayo. Taasisi husika ziliangalie hili kulinda afya za walaji...
  10. DISPLEI

    Airtel TIMIZA Riba yao inafikia hadi 24%

    Kuna huduma ya Airtel inaitwa TIMIZA ambapo unaweza kopa hadi TZS 500,000 na kutakiwa kurejesha ndani ya siku 21 Tatizo ni Riba yao inafikia hadi 24% kwa muda huo. Hata kama ni mkopo husio na dhamana riba hiyo kwa muda huo ni kuubwa mno. Utaratibu wa M-POWER ambao nao ukuaji wa kiwango cha...
  11. DISPLEI

    Airtel Call Center zao kuna Usanii

    Hawa jamaa wa Airtel kwenye call center zao unapiga simu kuomba msaada unapopata tatizo na huduma zao. Wanapokea na kujibu vizuri tu lakini hakuna matokeo mpaka utumie nguvu za ziada. Nimeshakutana na mazingira haya zaidi ya mara 4. Wahusika waliangalie hili linakera.
  12. DISPLEI

    Magufuli na Suala la Usalama Majumbani

    Kasi iliyoanza nayo rahisi kwenye kauli mbiu ya HAPA KAZI TU imekuwa ikitumiwa na hata wanyang'anyi wakiwa kazini. Kuna matukio mengi mitaani ya wizi wa kubomolewa majumba na kuingiliwa usiku. Hata na kwenye maduka hasa ya fedha. Kuna haja ya serikali kutoa mtamko na makalipio ya vitendo hivi...
  13. DISPLEI

    DAWASCO hawaheshimu ratiba, wachunguzwe

    Hawa DAWASCO kwa maeneo yenye huduma ya maji, wana ratiba za kufungulia mara mbili au tatu kwa wiki. Cha ajabu inapita miezi hata miwili bila mabomba kutoa hata tone. Hii inatokea bila kuwepo taarifa za matatizo ya mfumo wa maji. Wananchi wakijikusanya na kwenda kukalamika maji yanatoka.Kwa...
  14. DISPLEI

    Yako wapi magari yaendayo kasi Dar es salaam?

    Nakumbuka ilitangazwa yangeanza kazi October 2015. Tukaonyeshwa yanapitapita kwa majaribio. Hii ni November inaisha hatujaona. Kulikoni!?
  15. DISPLEI

    Kuchangia UKAWA

    Hili tangazo lilikosewa. Lina tarakimu saba badala ya sita. Kama halijarekebishwa wahusika rekebisheni na kulituma upya wanaopenda walifanyie kazi.
  16. DISPLEI

    Hivi Nyerere Angekuwa Hai

    Najiuliza hivi Nyerere leo hii angekuwa hai na nguvu zake angekuwa wapi katika uhumini wa vyama?
  17. DISPLEI

    Foleni Kimara Inatisha.

    Kimara foleni siyo ya kawaida. Magari hayatembei toka mida ya saa 12.30 asubuhi. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Back
Top Bottom