Search results

  1. tafakari kali

    Naomba ushauri wa kisheria

    Habari wanasheri wa jamvi hili. Naomba ushauri wa kisheria juu ya tatizo langu,ni hivi,mimi nina gari yangu ndogo ambayo nilimpa kijana kwa ajiri ya kufanyia biashara maeneo ya kimara kwa lengo la kujipatia kipato niweze kuendesha maisha, siku moja kijana niliyempa gari alifatwa na jamaa mmoja...
  2. tafakari kali

    sony xperia E3

    Naomba msaada simu yangu aina ya sony xperia e3 kila napopiga simu display inakuwa dark (ina sleep) na nakuwa siwezi kukata simu au kufanya lolote hata kama hakuna kizuizi chochote karibu na sensor yake. Pili nikimaliza kutumia simu haisleep (automatically) pamoja na kwamba nimeiseti sekunde 15...
  3. tafakari kali

    Nakuheshimu Dr Slaa ila nenda tu

    Binafsi namheshimu sana dr Slaa,amefanya kazi kubwa kwa kweli tena iliyoleta mabadiliko makubwa na kukuza upinzani kwa kiwango kikubwa sana akishirikiana na wenzake. Amefanya upinzani uwe na nguvu sana kwa kushirikiana na wenzake. ILA NI LAZIMA AELEWE KUWA KINACHOTAKIWA KWA SASA NA WANANCHI...
  4. tafakari kali

    raia 1 polisi 3

    Habari wana jamvi, Leo ninevutwa kuwa mmoja wa watu wanasema dawa ya moto ni moto. Nasema hivi kwa sababu yanayoendelea sasa hivi katika nchi yetu si mambo ya kuyakalia kimya hata kidogo. Haiwezekani kwa nchi inayojinadi kwa jina la kitovu cha amani wananchi wake wakawa wanapigwa na kuuawa...
  5. tafakari kali

    Malalamiko: Tigo Tanzania

    Tarehe 27/11/2014 niliweka vocha ya sh 3500 kwenye simu na kisha kujiunga na kifurushi cha wiki cha 3500 lakini paka leo hawajanipa huduma hiyo nimewapigia mara 2 wakiniambia subiri kidogo wanakata simu baada ya hapo napiga simu nasubiliwa kuunganishwa kwa muda wa dk 19 na sek 38 na bila...
  6. tafakari kali

    Natafuta mwanamke hasiye na uwezo wa kuzaa tafadhari hii ni serious

    Habari, Mimi ni kijana Mtanzania,mbena wa Iringa. Natafuta mwanamke asiyezidi umri wa miaka 31 lakini ambaye hana uwezo wa kuzaa(tasa) mimi tayari nina watoto wawili na kwa bahati mbaya siishi na mzazi mwenzangu kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa. Awe ama ni mfanyakazi au...
  7. tafakari kali

    Kuna faida gani tukiirudisha tanganyika?

    Habari wakuu wa JM F, nimeona leo niombe kujuzwa juu ya faida ambazo sisi kama Tanzania bara tunaweza kupata kama tukiirudisha Tanganyika. naomba kujuzwa kwa nini wapo watu wanafikiri kuirejesha Tanganyika ni sahihi na kwa nini pia wapo watu wanafikili kuwa kuirejesha Tanganyika ni kuvunja...
  8. tafakari kali

    je ni madhara gani anaweza kupata mtoto anayenyonya maziwa ya mama ambaye ni mjamzito?

    Habari wana jamii f. Naomba msaada wa swala hili, mimi na mke wangu tuna mtoto wa miezi 8,na kwa bahati mbaya mke wangu ameshika ujauzito mwingine, sasa sipo tayari kumwachisha mwanangu ziwa la mama yake kama hakuna madhara. Sasa naomba kujuzwa endapo kuna madhara yoyote kwa mtoto kama...
  9. tafakari kali

    Kati ya c++ na java au c# ipi ni nzuri kuanzia?

    Habari ndugu nzangu wa Jamiiforums. Bado ninaangaika katika harakati zangu za kujifunza programing. naomba kufahamishwa, hivi ni language gani nzuri kwa mtu anayeanza kijifunza programing from the scruch kati ya C++,C# na JAVA ? Naomba msaada katika hili au hata kama kuna language nyingine kwa...
  10. tafakari kali

    Haya ni matokeo ya chama kimoja.

    wananchi tubadilike ,ebu tuingize chama kingine katika serikali ili watu waache kufanya kazi kwa mazoea. watu hawawajibiki kufanya kazi maana wanajua hakuna tuinachoweza kufanya.faida za kubadili chama kinachoongoza nchi ni , MOSI- waliotolewa madarakani wanapata fulsa nzuri ya kujifunza na...
  11. tafakari kali

    Watu wa it anzisheni kitu kinaitwa -open class

    HABARI wakuu....... Wataalamu wa maswala ya computer tafadhari jaribuni kuanzisha kitu kinaitwa IT-OPEN CLASS. Hili liwe darasa la watu wanaopenda kujifunza maswala ya IT katika nyanja za mf, NETWORKING NA PROGRAMING. Hili darasa lifunguliwe on line watu wawe wana-log-in na kuchagua kozi...
  12. tafakari kali

    msaada wataalam wa IT..certificate erro

    kila napojaribu kuingia katika baadhi ya website kama vile facebook uwa Napata ujumbe huu There is a problem with this website’s security certificate. The security certificate presented by this website has expired or is not yet valid. Security certificate...
  13. tafakari kali

    kwa nini Wana IT msiongeze kipato?

    Wakuu na wataalamu wa maswala ya compyuter,hv hamjafanya utafiti na kugundua kuwa tupo mamia ya watu tunaoitaji kujua mambo ya IT sana? Mfano mimi napenda sana kujua jinsi com zinavyowasiliana,kutengeneza progs,appsna mambo ya security. Kwangu kujua mambo haya ni zaidi ya kuajiliwa. Tupo...
  14. tafakari kali

    windiw 7 not geniune

    Naomba msaada jinsi ya kutoa "This copy of window is not geniune",manualy bila kutumia software . Kwa sorfware najua ,nataka kuongeza ujuzi. Natumia win 7. Natanguliza shukrani
  15. tafakari kali

    msaada wa kusafirisha IT

    Naomba msaada,mimi ni dereva naomba mtu anayeweza kuniunganisha na kampuni za utoaji na usafirishaji magari paka tunduma. Nina uzoefu wa kusafiri DAR-MBEYA,DAR - IRINGA,DAR - MTWARA,DAR - TANGA [mara kwa mara zaidi ya miaka 2 sasa ] Natanguliza shukrani zangu.
  16. tafakari kali

    Ipi sura ya bunge mbele ya ufisadi?

    UTANGULIZI. Katika watu ambao taifa ili haliwezi kuwasahau kutokana na nafasi zao ambazo walikuwa nazo,wanazo na pengine wataendelea kuwa nazo ni ndugu yetu A.CHENGE. Nafasi moja kubwa aliyopata kuwa nayo na hato ipata...
  17. tafakari kali

    nafasi ya kazi- secretary_1post

    Kampuni ya MMP ARCHITECTURES (iliyopo mwenge na inajihusisha na uhandisi*ubunifu majengo )inayofura kutangaza kuwa muda wa maombi umesogezwa paka tarehe 27/03/2013. Kumbuka nafasi ni moja tu. Pia waombaji tumeni barua ya kuomba kazi mkiambatanisha na cv zenu kwa e_mail fredymsigwa@gmail.com...
  18. tafakari kali

    nafasi y kazi _ secretary 1post

    Kampuni ya MMP ARCHITECTURES (iliyopo mwenge na inajihusisha na uhandisi*ubunifu majengo )inayofura kutangaza kuwa muda wa maombi umesogezwa paka tarehe 27/03/2013. Kumbuka nafasi ni moja tu. Pia waombaji tumeni barua ya kuomba kazi mkiambatanisha na cv zenu kwa e_mail fredymsigwa@gmail.com...
  19. tafakari kali

    nashangazwa na hacker anavyoweza kujulikana mahala alipo asipokuwa makini

    Wataalam nijuzeni hii kitu,kwenye hizi move za kijasusi(e.g XIII the conspiracy) uwa anaonyeshwa mtu(hacker) akiinglia system za watu wengine kisha wenyewe wanajua na kumfata exactly where he/she is hiding. Swali wanajuaje hadi mtu alipo kwa kutumia computer.(nafahamu kidogo kuwa IP address...
  20. tafakari kali

    nafasi ya kazi

    Nafasi ya kazi. Kampuni ya MMP inatangaza nafasi 1 ya kazi. (one post) SECRETARY Sifa ~awe na vyeti uhusika ktk nyanja hii. ~uwezo wa kuzungumza kwa ufasaha lugha ya KISWAHILI na ENGLISH. ~anayejiamini /jiheshimu na msafi NB; mwenye uzoefu usiopungua miaka mitatu kazini atapewa...
Back
Top Bottom