HABARI WAKUU MBALIMBALI; Kuna mdau kanielezea yeye hapendi nywele za kifuani so toka zimeanza kuota amekuwa na tabia ya kuzinyoa kila ikifikia level flani ni kwa muda sasa amekuwa akifanya hivyoo, anauliza je kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea hapo mbeleni???
Habari wakuu mbalimbali nimenunua briefcase kwa ajili ya kuweka vitu vyangu vya siri lakini nimeshindwa kuset password ili niweze kufungua kwa namba mmi peke angu naomba mwenye ufahamu na hilii aweeze kutupatia msaada naimani wengi wetu hatufahamu so itasaidia sana .natanguliza shukrani
Habari wana jamvi,
Naomba nipate utaratibu ni hatua gani zinatakiwa zifuatwe baada ya kumpata mwenza hadi kufikia hatua ya kufunga ndoa namaanisha baada ya wazazi kuwatambua ni hatua gani zinafuatia kwa mtiririko!
Nitashukuru sana kwa msaada wenu upande wa ni wakristo thehebu katoliki upande...
Jamanii nipo Mpanda mjini yaani Mkoani Katavi.
Lakini sioni sehemu nzuri palipochangamka ambako kuna nyama choma na wasichana wazuri wa kuhudumia naomba nwenyeji anielekeze anayepajua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.