Ingawa ni vizuri kuhesimu mawazo ya mtu, lakini huyu kanda wa ccm anatakiwa afikrie mwalimu na askari wanaoishi Dodoma kwa mshahara wa 300000 kwa muda wa siku 30.Naomba aje na hoja je inakuwaje wajumbe wa wabunge la katiba washindwe kuishi kwa hela hiyo hilo kwa siku moja?
Nafuatilia mjadala wa posho ya wajumbe wa bunge la katiba.Inasikitisha sana kuona wajumbe ambao wengi wao ni wabunge na wasomi wetu wakiwa wanadai waongezewe posho.Wanajav kwa hesabu za haraka mjumbe mmoja atachukua milioni 21,000,000 kama bunge litadumu kwa siku 70.
Hivi hii ni haki? Kwa nchi...
Kwa mwendo wa kutaka majibu wakati wewe hujui utaendelea kukalili na haitakusaidia kamwe.Unatakiwa utafute mwalimu akufundishe hesabu hatusomi kwa kupewa majibu.
Wakati mwingine wanajf tuwe tunajaribu kufikiria nje ya box:
1.Kwanza barua hajasainiwa 2.Barua yenyewe ni ya tarehe 15/machi/2013
Kwa sababu hizo hapo juu hii barua haina ukweli wowote ndani yake na hizi inawezekana ni siasa mfilisi za chama tawala,
Kweli adui wa mwalimu ni mwalimu.Hapa Chato maafisa elimu ambao kitaaluma ni walimu ndiyo wanakuwa wa kwanza kuwakandamiza walimu.Ni hivi karibuni maafisa elimu hawa wameagiza tena kwa lazima kwamba walimu wote wachangie madawati.Kinachosikitaisha mwalimu anachangia maendeleo kila mwezi...
Mwalimu alitoa chemsha bongo darasani "Laiti jana ingelikuwa kesho basi leo ingelikuwa Ijumaa" Mwalimu aliyasema maneno haya siku gani? Naomba mnipe jibu wanajf.
Ukitaka kujiunga na vyuo vya wizara ya lazima ulipie shilingi 15,000/= ambazo hazirudishwi hata kama hautachaguliwa Naishangaa serikali yangu ya ccm ni kwa nini haina utaratibu unaofanana katika wizara zake.Kwa mfano wizara ya elimu wao unatuma maombi bila kulipia pesa.Nachelea kusema kuwa huu...
Ili mtu aweze kutuma maombi ya kujiunga na vyuo vya afya serikali katika ngazi ya cheti na stashahada anatakiwa kulipia sh 15,000/= ambazo hazirudishwi hata kama akikosa.Wakati nchi inakabiliwa na tatizo la wataalamu wa afya serikali yetu inazidi kuweka vikwazo vya kujiunga na vyuo vyake.Lakini...
Hii inatia hasira kuona serikali inawalipa walimu wawili katika wilaya wakati kuna zaidi ya wlimu mia wanaoidai serikali.Kweli serikali yetu ina jambo ililokusudia kwa walimu na watoto wa walalahoi
Bila kuzunguka nianze na afisaelimu shule ya msingi wilaya ya Chato. Huyu jamaa ameamia juzi lakini amekuja na mkakati wake eti walimu wafundishe mpaka saa kumi akiwa na maana kuanzia saa 6.00-8.00 mchana ni mapunziko. Kinachonishngaza shule hazina nyumba za walimu zilizokaribu, walimu wengine...
Hizi ni shule ambazo kidato cha sita watachaguliwa kwenda JKT mwaka huu kuanzia machi
Kibondo, Musoma, Kibaha, Ilboru, Bagamoyo, Jitegemee, Tabora Wavulana na Nganza. Shule nyingine ni Mtwara Wasichana, Ihungo, Kilakala, Benjamin Mkapa, Maswa Wasichana, Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.