Search results

  1. D

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Alikuwa anauza TZS 110,000.00 lakini tukapunguziana mpaka 100,000.00. Ni Mza pale Sinai. Kuna mwingine alikuwa ananitafutia aina ya TOTAL mjini kati, mwenye nayo alikuwa anauza TZS 20,000/L na mbaya zaidi akawa amefunga yuko mbali.
  2. D

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Alikuwa anauza 110,000/= lakini tumepunguziana mpaka TSH 100,000/=. Niko Mwanza.
  3. D

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu, Ubarikiwe sana kwa ufafanuzi wako. Nimefanikiwa kupata aina mojawapo kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini Asante sana.
  4. D

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu, kwanza nikushukuru wewe na wadau wote kwa elimu hii. Nimekuwa kwenye mgogoro wa engine ya ESCUDO G16 ni oil gani inafaa. Hii ni baada ya kununua engine nyingine (used) baada ya ile ya kwanza kushindikana. Fundi anashauri nitumie SAE 40 lakini nikambishia baada ya kupitia uzi huu. Ndiyo...
  5. D

    Ntapataje Sheria ya usimamisi wa mazingira ya mwaka 2004?

    Jaribu kutafuta duka linalouza nyaraka za Serikali mkuu. Kama upo Mwanza kuna kituo bubu cha daladala barabara ya Uhuru kinaitwa CCM (kabla ya darajani) unaweza kuulizia hapo. Nakala niliyonayo niliipata DSM siku nyingi hata siwezi kukumbuka duka. Kuulizia kwa mwanasheria yeyote si mbaya...
  6. D

    nawasiwasi tunalishwa nyamafu,

    Mkuu, umeniwahi tu kwa jibu hilo. Ndugu yetu huyu aangalie asijekuwa wa kwanza kufa kwa njaa kwa kuwa 'too selective' na maswali mengi yaendanayo na chakula. Hongera.
  7. D

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    R.I.P. Dr. Mvungi. Poleni wafiwa na wote wenye mapenzi mema.
  8. D

    Trafiki anaswa akiwa amezima mara baada ya kuchapa ulabu mchana kweupee....kwa hali hii ajali za bar

    Hapo kila mmoja ametafakaari sana na kuona wamesemwa na kusahaulika sana na kuamua "liwalo na liwe".
  9. D

    Wilfred Lwakatare Kafiwa na Baba yake!

    Poleni wafiwa. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. RIP marehemu.
  10. D

    Adha ya foleni Kilicho tokea ubungo maji,

    Hongera kwa mama aliyejifungua na wote waliomsaidia. Hayo ni sehemu ya matendo mema mbele za Mungu na watu.
  11. D

    Biashara ya kupangisha nyumba, Huwezi ukala faida wewe unayejenga

    Utofauti wa jambo hili ni pale wengine wanapofanya kwa maendeleo endelevu, wakati wengine ni 'today - today, now - now, here -here'. Huwezi kufaidi vyote vilivyo vyako, maana hata wewe inawezekana unafaidi kai ya mikono ya watu wengine ka namna moja ama nyingine.
  12. D

    ugomvi gani huu....?

    Huyo mwenye nyekundu atakuwa Mkurya na huyo aliyeelekeza mkono pasipoenekana haraka ni muha. Hahahahaaaa.
  13. D

    Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

    Mtaalam Mathabane amenigusa. Jina la Chuo si hoja ila unavyotoa huduma inayokubalika katika jamii na kuendesha maisha yako na familia. Suala la GPA hata '------' ni ya kupekua lakini amekuwa sehemu ya walioning'iniza maisha ya watanzania walio wengi. Mkuu Mathabane chukua 'like' nyingine.
  14. D

    Wakopaji kuweni makini,matapeli.

    Tunashukuru. Jitahidi kutusaidia habari kamili ukikamilisha, itakuwa msaada kwa wengine.
  15. D

    Bukoba Government Hospital punguzeni ukabila, mnawatesa wenzenu!

    Ama kweli Tanzania ni kubwa; utamaduni na ustaarabu wake ni vipandevipande. Enzi hizi bado wanaendekeza hayo? Itatuchukua miaka mingi kufanikiwa kama Taifa kwa ujumla wake. Ptfuuuuuuuuu!!!
  16. D

    Hivi sisi watanzania ni waoga, wajinga au tumelogwa?

    Kujifunza hakukomi, yaani kutumia 'nick name' ni uoga? Mtu huru hutoa hoja kwa uhuru bila kujali ameshangiliwa kwa jina lake halisi wala la kificho. Na uoga wa Watanzania haulezwi kwa majina yaliyomo JF. Watanzania si waoga kama mtu anavyoweza kufikiri, angalaumtoa mada angesema ni watulivu.
  17. D

    Inaniuma sana, kwani hatuwezi kuzuia tuonapo uovu huu?

    Haki huinua Taifa. Kwa maporomoko ya maadili yanayoendelea kwa kasi, itafikia kipindi 'jamii' tajwa itaishi kama hayawani. Inakera sana mtu anapokemea vitendo kama hivyo yeye ndiye anaonekana kituko. Kwa namna yoyote mtoto ni mtoto tu na utoto wao unatumiwa vibaya na watu wenye vichwa...
  18. D

    Utamu Dah

    Hapo 'bacteria' na vimelea vingine vimeruka, kwa mseja hapo hakuna tatizo. Shida ni kwa wale waliooa/walioolewa na wana nyodo. Huyo jamaa anavyoonekana hana ubavu wa kususa.
Back
Top Bottom