Search results

  1. young_mesult

    Wacheza Games. PC, PS3 , PS4 , XBOX 360 Ama XboX One?

    ps3 superslim 12GB bado naangaika kuichakachua ili nifaidi vizuri.
  2. young_mesult

    Playstation2 chipped for sale

    Kwa wapenzi wa playstation games,mashine ps2 inauzwa bado ipo katika hali nzuri.inacheza games za kwenye flash na kwenye cds.inakila kitu chake pamoja. -Unapata mashine yenyewe. -pads mbili original -flash yake 8GB ina games tatu (FIFA2015, GTA SAN ANDREAS na NEED FOR SPEED) -memory card yake...
  3. young_mesult

    Playstation 3 inahitajika

    young_mesult 14:07 Today oi wadau nahitaji playstation 3 iwe inacheza games za memo,bajeti 400k tsh. pia kama mtu ana ps2 nazo zinacheza games za kwenye flash nahitaji,bajeti 100k tsh.
  4. young_mesult

    Laptop inauzwa, HP Elite-book

    laki nne nanunua.
  5. young_mesult

    Nahitaji playstation3

    oi wadau nahitaji playstation 3 iwe inacheza games za memo,bajeti 400k tsh. pia kama mtu ana ps2 nazo zinacheza games za kwenye flash nahitaji,bajeti 100k tsh.
  6. young_mesult

    Hp compaq for sale

    Sawa kaka
  7. young_mesult

    Hp compaq for sale

    350 mwisho kaka...battery iko powa mkuu
  8. young_mesult

    Hp compaq for sale

    Iyo hapo mkuu
  9. young_mesult

    Hp compaq for sale

    Ongeza 50 mkuu uchukue mashine iyo.
  10. young_mesult

    Mke wangu simuelewi,wiki ya nne sasa nalishwa Dagaa

    Ulioa kabla ya uchumbaa au... (shake before use)
  11. young_mesult

    Hp compaq for sale

    Sio kimeo mkuu ipo powa,sema nimepata mashine nyingine sasa hii inabidi niuze ila mambo yangu yaende.
  12. young_mesult

    Hp compaq for sale

    Haaa uko mbali sana Ndugu.
  13. young_mesult

    Hp compaq for sale

    HP COMPAQ CQ62 AMD HDD 300GB RAM 2GB PROCESSOR 2.2GHz Kwa 370,000 tu. Kama upo serious ni PM
  14. young_mesult

    Pamoja na kumpa vitisho na maneno makali mpenzi wangu lakini ameniacha

    Alisalitiwa Osama sembuse vitisho vyako hvyoo vya kwenye bongo movie.
  15. young_mesult

    Unafanyaje Ukikosea kujaza namba ya mtihani TCU?

    Npo Arusha makao makuu yapo Dar es salaam navyojuaa...
  16. young_mesult

    Unafanyaje Ukikosea kujaza namba ya mtihani TCU?

    Daah Jamaa wangu.una matatzo kweli..haya nmetunga pita kulee
  17. young_mesult

    Unafanyaje Ukikosea kujaza namba ya mtihani TCU?

    Habari za mchana wana JF. Kuna mdogo wa rafiki yangu amekosea namba ya kujaziaa form zile za TCU, amejaza ya mwenzake wa pembeni yake sasa hapo itakuaje maana info zingine kama jina mahali yote ya kwake ila namba ya mtu mwingine naomba ushauri hapo ni muhimu sana.
Back
Top Bottom