Search results

  1. Huntsman

    Baadhi ya watu mnaofanya Computer diagnosis kwenye magari mnawamislead wateja wenu na kuwaingiza gharama zisizo za lazima

    Umeeleza vizuri sana Lakini Sababu ni Mafundi wengi wamejifunzia Mitaani na wengi hawajui Sensor zina operate vipi na namna ya kuzifanyia Test. Mimi Huwa nafanya mwenyewe
  2. Huntsman

    Agiza spea za Magari ya Ulaya aina zote hapa kwa bei nafuu

    Asante Mkuu. Hili litakamilika hivi karibuni. Karibu sana
  3. Huntsman

    Agiza spea za Magari ya Ulaya aina zote hapa kwa bei nafuu

    habari wakuu? Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu. Bei ni nafuu na spea ni Original Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa...
  4. Huntsman

    Ugomvi wa mali wamsukuma bilionea kumkana mtoto wake. Ni ugomvi wa Ukurugenzi wa MOTISUN Group

    Hii ni hatari sana Imagine mwanao akufanyie hivi. hadi mzazi wake katokeza public na kum disown sio mchezo. Baba anahisi kufitiniwa sana. wazia umemraise mtoto na anakufanyi hayo
  5. Huntsman

    Ugomvi wa mali wamsukuma bilionea kumkana mtoto wake. Ni ugomvi wa Ukurugenzi wa MOTISUN Group

    Si unaona aliyosema kuwa yamefanywa wakati yeye amelazimishwa kwenda Muhimbili kupimwa akili kupitia mahakama hata hivyo kaonekana hana shida yoyote. At the same time Jamaa anampindua kimya kimya halafu mtoto kabisa
  6. Huntsman

    Ugomvi wa mali wamsukuma bilionea kumkana mtoto wake. Ni ugomvi wa Ukurugenzi wa MOTISUN Group

    Mtoto kafikia hatua ya kumpeleka Baba Muhimbili ili apimwe akili huku yeye aki take over uenyekiti. Jamani Pesa hii ni Hatari sana
  7. Huntsman

    Ugomvi wa mali wamsukuma bilionea kumkana mtoto wake. Ni ugomvi wa Ukurugenzi wa MOTISUN Group

    Wakuu Habari zenu? Kuna Nini Kimeikumba Familia ya Patel? Someni wenyewe Hapa Hadi Nimechoka kwakweli. Mtoto anaweza kumsaliti Baba kiasi hiki? Au kuna kitu? Kama kuna mtu yuko Karibu na familia hii anayejua zaidi atusaidie. Haya ni baadhi ya Makampuni yanayomilikiwa na MOTISUN GROUP...
  8. Huntsman

    Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    Ngoja niseme kitu kidogo ili mwenye kuona aone. Hivi mnafikiri ufalme wa shetani umefitinika?? Eti uumwe au upagawe na Mapepo halafu uende kwa mganga alitoe pepo wapi na wapi??? Ambacho waganga wanafanya kwa watu ni hiki. Anakupatia Pepo kubwa ambalo linakuja na kulitiisha au kulituliza lile...
  9. Huntsman

    Kuna tukio la kishirikina liliwahi kunitokea miaka kama 20 iliyopita na limebadilisha maisha yangu

    If you are desperate then you are closer to your Answer. God is near press on and you shall find. Cry out to God He will Answer from heaven. The opportunity that God gave us (the human beings) is to be able to kneel down, lift up our hands, close our eyes and speak to Him. Use it till you are...
  10. Huntsman

    Mapenzi yamebeba vifo

    Zaburi 103:1-6 [1]Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu. [2]Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, Wala usizisahau fadhili zake zote. [3]Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote, [4]Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya...
  11. Huntsman

    Nauza nyumba ya biashara kerege Tsh 28 m

    Picha weka na bei kabisa
  12. Huntsman

    Niagize mimi gari lako, nitakuletea kwa bei nafuu kabisa

    Suzuki Escudo ni bei Gani ya kuanzia mwaka 2008?
  13. Huntsman

    Naombeni msaada nimechanganyikiwa

    Yaani mtu anakushauri unasema anatokwa povu?? Utaukumbuka ushauri wake soon. Kaolewe kwanza maana ndio unataka ushauriwe sawa sawa na utakavyo
  14. Huntsman

    Nahisi gari ya mume wangu ina mauzauza ya kichawi

    Sifurahishwi na michepuko yangu yote siku zao kufanana Sijui huwanapata faida gani kujifanya wanawake??? Anyways Good story
  15. Huntsman

    Series (Special thread)

    Hivi season 2 inaanza Lini?
  16. Huntsman

    Ulimwengu wa roho ni timilifu

    Anachosema mshana jr ni kweli kulingana na bible. Biblia imeelezea predestination/kukusudiwa kimbele. Ndio maana Mungu alisema shukuruni kwa kila jambo. Liwe jema au baya tushukuru tu kwa sababu yeye ndiye kila kitu. Ukitaka kuangalia pre destination kwenye Maisha yako chunguza hili...
Back
Top Bottom