Search results

  1. M

    Kioja cha mhudumu wa basi la ngorika:

    Juzi siku ya j'mosi nilikuwa nasafiri kutoka Simanjiro kwenda Mkoa K'njaro. Nilipomaliza shughuli zangu Moshi nikaamua kwenda Mkoa wa Arusha kwa ndugu ambayo ilinilazimu kupanda basi la kuanzia Moshi au yale mabasi ya Mikoani . Kwa sababu mabasi ya mikoani hayasimami mara kwa njiani nikaamua...
  2. M

    Kukata rufaa kwenye mahakama ya juu

    Kutokana hukumu mbalimbali ambazo imeamuliwa na mahakama ya mwanzo na baadae kukatiwa rufaa ambayo itampatia mrufani ushindi Itakuwaje kwa hakimu wa mahakama ya mwanzo alietoa hukumu?Sheria inamweka wapi Hakimu au Jaji anaetoa hukumu batili?
  3. M

    Rais wa Misri kujitangazia Ufarao

    Rais Morsi amejitafutia kinga kubwa kuwa farao wa sasa
  4. M

    how to draw graphs by EXCEL

    I don,t know how draw two or three graph by using the same source of information
  5. M

    Katiba mpya iwe na uwezo wa kujisimamia kama katiba

    Napendekeza kuwa Katiba mpya iwe na kifungu cha kujisimamia kama Katiba ili kutoa adhabu kwa viongozi na watawala wanaounja katiba waziwazi na hili liwezekane kuunda jopo la Katiba kutoka Kanda kuu za Tz yaani Kaskazini, Kusini Magharibi, Pwani, Kanda ya ziwa na kati ya nchi jumla yao iwe watano (5)
  6. M

    Nataka kujua kwamba foleni ya magari Dar inasababishwa nanini?

    Kule japan ambapo ndio kuna viwanda mbona sikusikia kuna foleni ya magari kama huku kwetu Bongo au Wajapan hawa uwez wa kununua magari huko kwao?
  7. M

    Hodi jukwaa la watu watulivu,Wenu Meidimu sirkon

    Nimeingia kwenye jukwaa hili nikiwa mpole , msikivu
Back
Top Bottom