Nataka kujua kwamba foleni ya magari Dar inasababishwa nanini?

meidimu sirkon

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
202
37
Kule japan ambapo ndio kuna viwanda mbona sikusikia kuna foleni ya magari kama huku kwetu Bongo au Wajapan hawa uwez wa kununua magari huko kwao?
 
On my side naona inasababishwa na askari wa usalama barabarani (Traffic) maana sometimes utakuta mataa yanafanyakazi lakini yupo pale anaita upande mmoja tu isa swaiba wake au hawara yake anajia upande huo! Pili na sis waendesha magari hatujali tena junctions! Taa ya njano inawaka kukutaarifu ujiandae wewe ndio kwanza unaongeza mafuta badala ya kupunguza mwendo!!
 
Back
Top Bottom