Sh Mohamed
MashaAllah, Mwenyeezi Mungu amekujaaliya kipaji cha uandishi, nami nimo katika kudondoa mawili matatu,
Yalaiti wengi wetu tungelikuwa tunakusoma kwa ajili ya kuelimika basi hakika tungelifaidika mengi
Ahsante
Sh Mohamed
Leo ninakuvulia kofia kwa kunikumbusha Dundee, kweli wasemavyo “wakati ni upepo”
Jee nikuulize mtaa wa Ungoni unapajua? Najua sana kuwa unapajua lakini tuyawache kama yalivyo, sisi ni wadogo kwenu,
Kweli usemayo watu hawaonani mpaka kwenye maziko, Mwenyeezi Mungu awasamehe wote...
Sh Mohamed
Leo umenikumbusha miaka yangu ya odogoni, timu yangu ilikuwa Pan Africa
Umemtaja mtu ambae nilikuja kusikia karibuni tu kuwa amefariki nae ni Mohamed Yahya Tostao, Mwenyeezi Mungu amsamehe makosa yake
Kweli usemayo hakika team ile ya Young kids haitotokea kwa miaka ya karibu
Dr Dau...
Sh Mohamed,
Ninakupa pongezi kwa makala zako, kama nilivyobainisha kuwa huna uchoyo katika uandishi wako, kwani humchoshi msomaji, uandishi ni sanaa
Mwenyeezi Mungu akuzidishie elimu zaidi
Shukurani
Sh Mohamed,
Ahsante kwa kutuletea kumbukumbu mjarab, Muda umepita
Nina suali dogo lakini nategemea utalifafanua vizuri
Umesema Mzee Kitwana Kondo alikuwa Mzaramu na Mswahili hasa
Naomba utufafanulie Mswahili ni nani? Wengi wetu hatumjui nani Mswahili
Shukurani Sh Mohamed
Moderator
Tafadhali ufupishe au uufungie Mara moja huu mjadala kwani hauna faida kwa upande wowote ule, huu mjadala umekuwa wa kukashifiana na kutukanana,
Ahsante
Sh Muhamed,
Kwanza, nikupe hongera kwa kipaji ulichonacho Mwenyeezi Mungu akuzidishie
Pili, nakupa hongera kwa kutokuwa mchoyo na kutokuchoka katika kuielimisha jamii
Ninawafahamu waandishi wachache wenye uwezo wa kuandika na msomaji akahisi kama na yeye yumo kwenye khadithi inayokhadithiwa...
Ukiingia kwenye website yao na uandike malalamiko yako ndio hakuna zaidi, ukipiga simu inakwenda Doha na huko hakuna msaada wowote, najua watu tunalalamika ukipiga simu ATC ( Air Tanzania )hakuna majibu lakini Qatar ndio wazembe kuliko ATC, ukifika Doha bora ukutane na wa Kenya wanaweza kukupa...
Umepata bahati ya kupanda A350, usiombe kupanda Boeing 777 ya Qatar, viti ni vidogo kwa safari ndefu
airport kubwa lakini huduma sio za kuridhisha,
sitoipanda Tena Qatar Airways nipo tayari kuwapa Ethiopia pesa yangu kuliko Qatar, ukiwa na pass ya Tanzania ndio kabisa huthaminiwi,
itakuwa...
Ninaomba msaada kwa anyejua,
Find the values of alpha that maximize the curvature of e^(alpha*x) at x=0. Also find the radius and center of curvature
natanguliza shukurani
Kwa muda mrefu sijachangia mada humu ukumbini lakini Leo nitachangia kidogo,
Kwanini mwalimu unakubali hasira zikutawale zaidi ya maarifa, ikiwa wewe mwalimu umekwenda mafunzo ya ualimu na umeshindwa kutumia elimu uliyonayo kumsaidia mwanafunzi na badala yake unatumia hasira tayari unajenga...
mimi sio tabibu lakini nitakupa ushauri, usile aina ya chakula chochote kilichopikwa na mayai pamoja na yai lenyewe, jaribu kwa wiki moja uangalie kama muwasho utapungua na kama haukupungua basi jaribu usitumie maziwa pamoja na cakula kilichochanganywa maziwa, ikiwa hali haitobadilika jaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.