Search results

  1. M

    Precision Air (Dsm Dodoma)

    Ni sisi aisee tumeteseka kweli mama mmoja alikemea kilokole baadae ikapiga mtikisiko mkali akanyamaza maombi. Ha ha ha nadhani akawaza wanae maana hata simu aliweka kwenye mkoba
  2. M

    Precision Air (Dsm Dodoma)

    Mnachekesha lakini ile hali kwa kweli si mchezo. Ha ha
  3. M

    Precision Air (Dsm Dodoma)

    Ha ha ha hatari
  4. M

    Precision Air (Dsm Dodoma)

    Kuna ka ukweli lakini ha ha ha
  5. M

    Precision Air (Dsm Dodoma)

    250,000-350, 000 kwenda tu
  6. M

    Precision Air (Dsm Dodoma)

    Ni hurka ya waswahili kuwa na majibu mepesi na mizaha
  7. M

    Precision Air (Dsm Dodoma)

    Definetely hali ya hewa haikuwa vizuri
  8. M

    Precision Air (Dsm Dodoma)

    Logical somehow
  9. M

    Precision Air (Dsm Dodoma)

    Nimesafiri leo 19.02.2024 na Ndege ya Precision Air PW 600 aina ya ATR kutoka Dsm kwenda Dodoma majira ya saa 5:40 asb na kufika saa 6:55 Ndege imeyumba sana angani hadi abiria wote kupoteza matumaini ya kufika salama Dodoma. Pamoja na uwepo wa mawingu lakini ya Leo ilikuwa inashuka na kupanda...
  10. M

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dr.Nina tatizo la kuuma mkono wa kushoto ndani hasa ukila nyama hasa ya mbuzi na vyakula vingine vya aina hiyo.Nilishapima hospital hamna ugonjwa.Ni tatizo la zaidi ya miaka 9 sasa.Mkono mmoja tuu huuma.Ahsante
  11. M

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dr.Tatizo la kutozuia mkojo,mkojo kutoka wenyewe bila control nini tiba yake tafadhali.Tatizo ni kwa mwanaume wa miaka 37.Ushauri na tiba please
  12. M

    Wizara ya ustawi wa jamii/halmashauri zote-nini vigezo na standards za kusajili day care centres

    H a ha ha Ni wizara ya Afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,wazee na Watoto kwa sasa
  13. M

    Wizara ya ustawi wa jamii/halmashauri zote-nini vigezo na standards za kusajili day care centres

    Wanajamvi, Poleni kwa mkasa wa Mkurugenzi wetu wa JF. Nimepita sehemu mbalimbali hapa nchini kutafuta fursa za kufungua vituo vya day cares.Nimesikitishwa kuwa Wizara haina vigezo vinavyotumika kwa kila Halmashauri kukagua hivi vituo.Maafisa wa Ustawi wa Jamii hawajitambui na wakati fulani...
  14. M

    Tetesi: Bodi za usajili,AQRB,ERB,CRB kutumbuliwa na kufanywa moja

    Mbarawa punguza burden kwa wananchi ,huu utitili wa bodi ni mzigo kwa mlipa kodi.Ukiwa na ujenzi wa ghorofa unagombaniwa kama mpira wa kona na hatujui fedha hii huenda wapi?Nilidhani ingeleta tija hata zingetengeneza barabara za kokoto maeneo hayo baada ya kusajili.Hili ni jipu tusaidie...
  15. M

    Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa awasimamisha na kuwastaafisha kazi watendaji watatu wa TCRA

    Hapa kazi tu, TBA,AQRB tegeni miguu kwenye vitanda daktari anakuja majipu yatumbuliwe. Majengo ni jipu na kodi zake.
  16. M

    Ghorofa lililoanguka Dar,Je kuwarudisha keko na kubadili kesi ni sawa

    Wadau inauma watu wote kurudishwa mahabusu keko hali wengine hawana makosa hususani wale wa bodi ya wabunifu majengo na wakadiliaji Majengo.Je yawezekana mkurugenzi TRA kuwekwa ndani kwa dereva mwenye lesseni aliyepindua gari na kuua kisa TRA walitoa lesseni?Kazi ipo bongo na uelewa wa taasisi...
  17. M

    Basi la Arusha express lapinduka

    Halijaua ila limejeruhi ni lile la kutoka dodoma kwenda arusha.limepinduka asb leo saa mbili kasoro.katikati ya bahi na kijiji cha kintinku.wenye ndugu watafuteni.mm napita tu.
  18. M

    Kutoka Bariadi

    Duliho nkoyi dulipa na mafulu.Nzagamba sha migato
  19. M

    Uwizi kwny ATM waendelea kushamiri,Tukio Oilcom Kagera

    Last week tu wametuibia kule dodoma mamilion ya fedha,wengine Tanga na Morogoro nasikia.Lakini nbc wanatakiwa kurudisha hela za watu kisha kama wameshindwa kudhibiti tuhame benki tuanze vibuyu na migombani kama zamani.Poleni mlioibiwa Tanga,Moro na Dom.Nbc nao wanatupiga chenga tu na simu zao za...
Back
Top Bottom