Search results

  1. TOTS SHALO

    Msaada jamani

    Naomba kuuliza flat screen aina ya bish kwamwenye uzoefu inaubora kiasi gani...
  2. TOTS SHALO

    Naombeni msaada.

    Nimewahi kusikia kwamba unaweza kuweka chanel za bule ndani yakinyhamuzi kwakuweka flee kwens za chaneli kusika vp inawezekana nakama inawezekana unatumia hatua zipi kuziingiza chanel.
  3. TOTS SHALO

    Msaada waungwana ni muda gani kitaalamu mzazi anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa

    Ni muda gani mzazi anashauliwa kuanza kushiliki tendo landoa baada yakjifungua kwajia yakawaida.
  4. TOTS SHALO

    Niwakati gani naweza kupata mtoto wakike au wakiume kulingana namzuko wa mwenza wangu

    Naomben kuelekezwa jins yakupata mtoto wakike au wakiume kulingana namzunguko wamama. Anaejua naombeni msaada please.
  5. TOTS SHALO

    What is love ?

    Binafsi siyaelewi kabisa mara nijihisi kama nipo peponi mara nijihisi kama nipo kuzimu. Kweli mapenz mchezo mchafu.
  6. TOTS SHALO

    Naombeni dua zenu my people.

    Hi my people; natumain mmeamka poa Naombeni mnisaidie kwamaombi my wife kaenda hosptali kujifungua.
  7. TOTS SHALO

    Naombe msaada jins yakubadili use name.

    Hi people: Ninaomba kuelekezwa jins yakubadili use name ktk akaunt yangu ya jamii forum. KWENU WADAU MSAADA PLEASE.
  8. TOTS SHALO

    Naombeni msaada please.

    Hi people. Naomba kuuliza hiv ni kweli kwamba wanawake wafupi ningum kujifungua kwanjia yakawaida? au sio kweli nakama ni kweli nitatizo gani linalosababisha hali iyo. KWENU WADAU
  9. TOTS SHALO

    Msaada pleaser.

    Hi, Vyadalua wanavopatiwa wanawake wajawazto vinamadhala kwamwanaume au nimagumash yawabongo.
  10. TOTS SHALO

    Wahaya kwabwebwe noumh! Embu sikia hii

    wahaya kwabwebwe bana. Jamaa alikua anajitambuli kwenye sherehe kwamba nimfanyakazi wamochwali ila cki bwebwe zake. Kwajina naitwa lweimamu kamugisha mushombos i am working in national bugando hosptol aim plofenal after low ni kwamba nahusika na wale watu ambao madakitali bingwa wameshidwa...
  11. TOTS SHALO

    deleva nakonda ndani yadaladala.

    Deleva na konda ndani yadaladala kondakita=> Naomba uniulizie kama huyo mzungu anashuka kaliakoo dereva=> wambie abilia wakuulizie mie jino linauma. Abilia hoi kwakicheko.
  12. TOTS SHALO

    Akili mkichwa ukizuba umeeacha hii ndio twitter bana.

    kuna dem mmoja niliona kaaplog picha yake twitwer ukweli alibamba hisia zangu nikamua kumfoll kisha nikamuandiki sms Tots. Hey mambo vp Garl. Poa mzma wewe Tots. Ebana mie mzma Garl. Naomba unilushie vocha ya sh 500 Tots. Dah! samahani sina hela apa kesho yake Tots. Hey naomba unitumie...
  13. TOTS SHALO

    Ndoa yamkeka noumah! Yamnikuta.

    kuna mdada kila nikikutana nae napenda xana kumtania kuwa nampenda bas yeye aniambia kuwa utaniweza wewe Tots mie mashine kubwa sais ya kaka zako mzki wangu hauwez unaweza ukafia kitandani basi mie roho inaauma kweli leo kanipigia cm nakuniambia niende kwao fasita anipe utam nikajianda fasta...
  14. TOTS SHALO

    Hasira nouma aah! guy's sikia hii.

    baada ya mke kupokea kipigo kikali kutoka kwa mme akaenda polisi kushitaki. Mke. mume wangu kanipiga baada yakugumgundua anauza madawa yakulevya polis wakamfuata jamaa nakuanza kumpa kipigo chambwa mwizi hatimae jamaa akakili nikweli nauza iyo ki2 lakini mzgo sinao mimi anao boss wangu. Polisi...
  15. TOTS SHALO

    Muda gani muafaka mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa?

    Binafisi nashidwa kujua ni muda au miezi mingapi mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa na kama atashiriki ndani ya muda huo ni madhara gani yataweza kutokea kati ya mama au mtoto.
  16. TOTS SHALO

    Msaada prease. Ni muda gani unashauliwa kwa mama mjamzito kuacha kushiliki tendo la ndoa

    Natumai mko poa waugwana binafisi nashidwa kujua nimuda gani mama mjamzto anashauliwa kuacha kushiliki tendo la ndoa na kama ataendelea nimadhala gani yanaweza kutokea kwa mama au kwa mtoto.
  17. TOTS SHALO

    Msaada guy's

    naomba msaada waugwana ni dawa gani mama mjamzto akizitumia zinaweza kumdhulu yeye pamoja na mtoto au kusababisha abosheni.
  18. TOTS SHALO

    masai nachoo

    masai alimuona jamaa yake akienda chooni na maji uzalendo ukamshinda akabidi aulize hey! Rafiki mbona waenda namaji chooni kwani muk..uundu iko na kiu.
  19. TOTS SHALO

    masai na dereva

    masai alikua anasafili na alikua kakaa sit ya mbele akawa anamuangalia deleva akibadilisha gia kila wakati ilipofika wakati wakwenda kula watu wote wakashuka ila yeye hakwenda kwasababu alikua nakibuyu chake cha maziwa, akaanza kuichokonoa ile gia hadi ikachomoka, dereva alipokuja masai...
  20. TOTS SHALO

    toz mgambo

    hapo zama nilikua naish kitaa kimoja chauswahili na nilikua bonge labishooh kwakuwabadili madem na pamba zangu zakuazma huku nikijifanya mie anderglaund wa hip hop madem walinipenda xana na kila mmoja akitamani ku det na mimi ijapo hawakujua nafanya kaz gan siku moja niko zangu job na mavaz...
Back
Top Bottom