Wahaya kwabwebwe noumh! Embu sikia hii

TOTS SHALO

Senior Member
Sep 24, 2012
152
25
wahaya kwabwebwe bana. Jamaa alikua anajitambuli kwenye sherehe kwamba nimfanyakazi wamochwali ila cki bwebwe zake. Kwajina naitwa lweimamu kamugisha mushombos i am working in national bugando hosptol aim plofenal after low ni kwamba nahusika na wale watu ambao madakitali bingwa wameshidwa kunusulu uhai wao. W2 hoi kwakicheko.
 
:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41: wasomileeeeeeeee hayo ni mavitu yao.
 
wahaya kwabwebwe bana. Jamaa alikua anajitambuli kwenye sherehe kwamba nimfanyakazi wamochwali ila cki bwebwe zake. Kwajina naitwa lweimamu kamugisha mushombos i am working in national bugando hosptol aim plofenal after low ni kwamba nahusika na wale watu ambao madakitali bingwa wameshidwa kunusulu uhai wao. W2 hoi kwakicheko.

Wahaya hawafai
 
Back
Top Bottom