Search results

  1. EMEDNEY

    SELL MITANDIO ILIO NA NAKSHI ZA SHANGA ZA KIMASAI KWA BEI POWA.

    SELL SELL SELL MITANDIO ILIO NA NAKSHI ZA SHANGA ZA KIMASAI KWA BEI POWA. RANGI - COLOR ZOTE ZINAPATIKANA PRICE - BEI NI SHILINGI 10,000/= CALL OR WHATSAPP 0712046129
  2. EMEDNEY

    T-shirt na mashati ya kiafrika

    Jipatie T-SHIRT na MASHATI pouwa yaliotengenezwa kwa nakshi Za Vitenge aina YA MACKENZIE original. PRICE (REJA REJA) ** T-SHIRT - 20,000 kwa Kila moja **MASHATI - 25,000 Kwakila moja PRICE (JUMLA) ** T-SHIRT - 17,000 ** SHATI - 23,000 COLOUR Rangi Za aina zote zinapatikana kwa mashati na...
  3. EMEDNEY

    T-shirt pouwa za kiafrika

    BACK TO HOME PATA T-SHIRT POUWA ZA KIJANJA UWE NA MWONEKANO WA KIAFRIKA ZAIDI. BEI-20,000Tsh per tshirt. SIZE-All sizes are available. COLOUR-Rangi zote zipo. Mawasiliano zaidi chek kwa whatsapp n sms 0712046129. Serious BUYER ONLY. Pia na sandal zenye nakshi nakshi Za vitenge Pamoja na...
  4. EMEDNEY

    Usifungue hakuna kitu kweli tena

    Yani mpaka umehakikisha kaazi kweli kweli. :smile-big:
  5. EMEDNEY

    Usifungue hakuna kitu kweli tena

    :smile-big: Watu kweli wabishi mpaka umehakikisha dooh.
  6. EMEDNEY

    Ohooo nimeharibu!

    Napenda kujitambulisha kwa wadau na kukiri kujiongezea jukumu lingine la social network! Natumani mtanipokea pouwa.
  7. EMEDNEY

    Ha ha ha wazee wa mjini noma!

    Mwanasheria mmoja alienda porini kuwinda, akampiga swala risasi lakini swala akakimbia na kuingia katika kibanda cha mzee mmoja... Mwanasheria: "Mzee kuna swala wangu kaingia kibandani kwako namuomba...." Mzee: "Kama yuko kwangu huyo wangu..." M/Sheria: "We mzee mi mwanasheria maarufu...
  8. EMEDNEY

    Ha ha ha ha jioneeni wenyewe!!

    Ha ha ha h kwa mwendo huu kazi ipo!
  9. EMEDNEY

    Chemsha akili upate jibu sahihi

    Chemsha akili yako unipe jibu la swali hili. Chemsha bongo, nicheupe kama barafu na Ni cheusi kama giza, kuliwa ni HARAMU na kunywa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M) Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao, Je, ni kitu...
Back
Top Bottom