Search results

  1. M

    Zifahamu Engine oil

    Hizi ndizo kazi za oil! Lubricating Cleaning Cooling Rust preventing Tear and wear prevention.
  2. M

    Zifahamu Engine oil

    Oil inachujwa wakati inatoka kwenda kazini na si wakati inarudi,
  3. M

    Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

    Mwenzio kadondoka kabisa! Piuuuuu.....
  4. M

    Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

    Ndo limelipuka sasa! MIKALILE YA WANYAUSI kaianzisha mwenyewe!😂😂😂
  5. M

    Akipatikana Spika Mpya Bunge litaendelea kuwa la 12 au litabadilika kuwa la 13?

    Da kuna siku watu mnaakili sana! Hii ni ya Tano tu mengine mbwembwe!
  6. M

    Kifuatacho baada ya Job Ndugai kujiuzulu, tukae mkao wa kula

    Sumaye the longest serving PM!
  7. M

    Sijaelewa kwanini Spika anaandika barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM badala ya Katibu wa Bunge!

    Hii ni press release tu, japo barua bado kaielekeza kusiko, ndo waswahili tulivyo! Makosa tunayaona kama utatatibi tu
  8. M

    Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

    MIKALILE YA WANYAUSI ndo shida ilokoanzia hivi ndo nini haswa?
  9. M

    Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

    Usichanganye binadamu na myama, kwa binadamu sex starehe, uzazi ni asilimia ndogo sana! Kwa mnyama sex ni uzazi
  10. M

    Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

    We pumbavu ukome! Utalaanika kuwaza tu kuandika hivi ushalaanika 20% acha kabisa ujinga! Mwache aolewe kisheria aakishaolewa anachapa lapa! Afu mbona unaa wivi mbaya sana we mtoto dah....
  11. M

    Baada ya Ndugai kushughulikiwa, who is next?

    Akuite kwa bashasha sasa, kule kunaitwa kutajwa kwa fedhuri, si kuitwa!
  12. M

    Nitajinasuaje?

    Kwa jinsi unavyomsifia utaenda kunisemea mimi ndo nimekwambia wapenzi hamnaga maana na hivi unakojoa namna hiyo?
  13. M

    Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

    Akapiga na Ndiyooo, Ndiyooo, Ndiyooo zile za Mwalimu!🤔
  14. M

    Mwigulu Nchemba: Hakuna mwananchi atakayelipa mkopo, Serikali italipa

    Yaani jamaa alijiapizaga kwamba ikifika decemba fulani kabla hata ya tarehe 25 ukweli utadhihirika, magaidi watajulikana. Wakati ule akiwa waziri wa mambo ya ndani. Alikuwa akiwalenga CHADEMA sikumwelewa kabisa mziki wa Kibiti ulipokolea akapotelea pwete!
  15. M

    Utaalamu wa kufua vyuma ulianzia Afrika

    Waaafrika mnapenda sana kujidanganya, na we mgogo?😠😠😠
  16. M

    Nahisi nimepigwa kwenye hizi spare nilizoandikiwa

    Soma umuelewe jamaa alipeleka kwa nia njema kabisa! Sasa yamemkuta mpe moyo mwaka mpya huu tuanze salama, au we mgogo?🤔🤔🤔
  17. M

    Nahisi nimepigwa kwenye hizi spare nilizoandikiwa

    Mwisho wa siku hiyo gari, wantatowa vizima wakapachika vibovu na kupachika vibaya, kama hawajafunguwa hama hiyo gereji!
  18. M

    Nahisi nimepigwa kwenye hizi spare nilizoandikiwa

    Huu mwaka aisee umeanza nao kivingine kabisaa😱😱😱
  19. M

    Msaada! Bei ya hizi spare za Toyota IST

    Hii bongo hii! Dah......😆😆😆😆😆😆
Back
Top Bottom