Search results

  1. Mparee2

    Shukuru Kawambwa kwenye Kashfa ya Udalali wa Viwanja

    Acheni basi ushabiki wa Kijinga wa kuchafulia watu majina! Kinacho onekana hapo ni barabara iliyofungwa, pengine inapita kwenye shamba la mtu; Hata ningekuwa mimi; mtu hawezi kugeuza kiwanja changu/shamba langu kuwa barabara bila kukubaliana. Hayo ya udalali wa Kiwanja mmetoa wapi???
  2. Mparee2

    Anthony Mavunde: Watu 34 wamehodhi eneo lenye ukubwa mara 12 ya Dar es Salaam

    Nikuwa morogoro vijijini tukaendesha gari kwa kama nusu saa hivi kwenye pori lilipo sehemu nzuri tu kwa kilimo/ufugaji; nikaambiwa ni shamba la muheshimiwa mmoja wa Arusha aliyekuwa na Wasifa mkubwa. Watajua wenyewe na Mungu wao kwani... Wamesomesha watoto wao shule za gharama , wamewapatia...
  3. Mparee2

    Zanzibar ipewe kipaumbele kwenye miundombinu

    Tangu lini Zanzibar ikawa lango la utalii Tanzania? Hivi vitu vinahitaji taaluma/reference sio kuandika tu kwa hisia Watalii takriban 75% wanatokea bara kwenda Zanzibar kwahiyo kitwakimu (bara) hasa Kilimanjaro na Arusha ndio Lango la Utalii Tanzania. Watalii huja kwa wingi kutembelea Mbuga za...
  4. Mparee2

    PSSSF imeshindwa kulipa pensheni za wastaafu. Wengine sasa ni zaidi ya mwaka hawajalipwa

    Nafikiri kuna kitu hakipo sawa kwenye uendeshaji wa hii mifuko Chukulia mfano KENYA ambao wapo serious na uendeshaji wa mifuko yao. Wafanyakazi wa Serikali huchangia 5% na private 10% wakati huku Tanzania tunachangia mara mbili yao halafu kikokotoo chetu ndio kimekuwa cha mawazo kuliko cha kwao...
  5. Mparee2

    House4Sale Nyumba Inauzwa Vingunguti

    Unahakika eneo ni Sqm 135 (miguu 10 kwa miguu 13?) Kama ni kweli inamaana huwezi kupaki hata boda boda nje kwa sababu kiwanja kimejaa nyumba chote Kwa mazingira hayo bei elekezi uliyotoa, sioni kama inaendana......
  6. Mparee2

    Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Hii ni sawa na kumpeleka mdada kwenye duka linalouza unga wa SEMBE na bidhaa nyingine kama perfume nk umwambie pale umekwenda kununua unga wa sembe hivyo kuona/kuvutiwa na perfume ni makosa... TUSIJIDANGANYE SISI NI BINADAM NA WALA SIO MALAIKA!!!
  7. Mparee2

    Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    Mungu ni mwepesi sana wa kusamehe zile dhambi zinazomuhusu moja kwa moja mfano: Hujaenda Msikitini/kanisani, hujatoa sadaka, nk lakini kama umetendea watu mabaya OMBA KWANZA MSAMAHA WAKUSAMEHE ndio urudi kwa Mungu; tofauti na hapo Msamaha wako kwa Mungu ni bahati nasibu. Huwezi kuchukua...
  8. Mparee2

    Ipi kampuni bora ya bima ya magari kati ya hizi?

    kwa hizo ulizo andika Mimi naikubali Mayfair kwani ndiyo naifaham vizuri Zanzibar insurance ni nzuri pia na inafanya kazi Bara na Visiwani NMB Bank nao ni wakala wa Bima, wanafanya vizuri japo siwajui vizuri
  9. Mparee2

    Msomi wa degree mbili kagongwa na gari hii inawezekanaje ?

    Ulicho kiandika unaweza kukielewa mwenyewe! Au sijui, Ulimaanisha Ukiwa na degree ukigongwa na gari huwezi kufa? Au pengine mtu akiwa na degree muda wote anakuwa ndani ya gari hivyo hawezi kugongwa?
  10. Mparee2

    Mashine za maji

    Nahitaji chujio la kusafisha/kuondoa Chumvi (ambayo sio kali sana) Kwa matumizi ya nyumbani; kama unayo na bei yake tafadhali
  11. Mparee2

    Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

    Vyuo vya serikali hata ukiwa na C kupata CO sio rahisi; wanaopata nafasi kusoma hizo Course ni walio na pass za A na B na wachache sana C. Nilifuatilia mdogo wangu alivyotaka kusoma na kuona waliopangwa hiyo course 85% walikuwa na DIV 1 tena kali hiyo D uliyosema sijui ni ya somo gani ila...
  12. Mparee2

    Naomba ushauri: Kijana wangu amepata kazi Shirika la Good Neighbors na Halmashauri, aende wapi?

    kama mishahara inaendana aende Halmashauri Good neighbors angeweza kwenda kama wanalipa angalau mara mbili ya halmashauri kwani private Sector hawana marupu rupu na kazi uliyo omba utaifanya kweli kweli ILA huko Halmashauri mambo sio haba...
  13. Mparee2

    Tuangalie upya Mfumo wa Elimu ya MASTERS & PHD

    Kiongozi hatupo hapa kuharibia watu nafasi zao kwani, hata kama wapo wamepewa hizo nafasi kutokana na mfumo wetu wa Elimu ya juu ambao ndio tunapendekeza maboresho
  14. Mparee2

    Watoto waliotelekezwa

    Watoto wote wanabahati kwani Mungu huumba kila kiumbe na risk zake Hata hivyo sio sawa kusema eti watoto wakiume wakitelekezwa huwana bahati? Kama umeona wawili watatu ni bahati tu lakini ungekusanya watoto wa kiume 1000 waliotelekezwa ndio ungejua kuwa utafiti wako hauna mashiko. Fuatilia...
  15. Mparee2

    Nyie watanzania ni lini mtaacha tabia zenu za kibaguzi dhidi ya wahitimu ya digiriiii?

    Kuna mjadala ukiuleta ndio unakuza jambo.... Wewe ungeshauri tu wasomi, wafanye mambo positive zaidi au niseme wajitofautishe na Darasa la saba, Hizo dharau unazosema zingeisha zenyewe!
  16. Mparee2

    Musukuma: Kikokotoo cha 33% kitazalisha Watumishi wezi, hawatajli tena kazi

    hawa waheshimiwa wawili; Msukuma na Kishimba nawaelewa sana Wanaupeo wa hali ya juu wa kuelewa na kuchanganua mambo na ujue ni wa darasa la saba Ukichambua hoja zao pole pole, utagundua kuwa, hawa watu hasa Kishimba ni super genius. Ningekuwa Waziri, Kishimba ni kati ya watu ningewaweka kwenye...
  17. Mparee2

    Unyanyasaji kwenye ubalozi wa Marekani

    Nafikiri tunaweza kuwapelekea Locker na bench moja na tuandike kuwa; Msaada huu umetolewa kwa hisani ya wananchi wakereketwa wa Tanzania Wangepata cha kujifunza
  18. Mparee2

    Madereva wa mabasi ya abiria Tanzania hawana akili ya kuendesha usiku,tutakwisha

    Kimsingi kukimbiza gari sio chanzo kikuu cha ajali za barabarani; Sababu za ajali zipo nyingi ila kikubwa nikutokufuata sheria za barabarani na ubovu wa magari hasa MALORI unaopelekea yaachwe hovyo hovyo barabarani yakiwa yameharibika
  19. Mparee2

    Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Baadhi ya wanawake hasa wamama wa nyumbani hufanya hizo chat for fun! Jua tu nothing Serious. Kimsingi ni makosa makubwa kumfanyia mkeo hivyo! Mtafutie kazi/biashara ya kumkeep busy na muachane na hiyo mitandao ya watoto wa shule...
  20. Mparee2

    Madereva wa mabasi ya abiria Tanzania hawana akili ya kuendesha usiku,tutakwisha

    Kiongozi; MAMBO YAMEBADILIKA sio kama enzi ya Mrema 1. Sikuhizi tuna barabara nzuri 2. Mabasi yamekuwa ya kisasa haswa (Yanachoo, yana camera, yana visibiti mwendo nk nk) 3. Uelewa umeongezeka kwa madereva na Abiria kujua wajibu wao (watu wengi wamesoma), 4. Vitu vingi kwa sasa ni Digital...
Back
Top Bottom