Search results

  1. sangas

    tutafakari hii maana yake nini

    Jamaa wameletwa na magari,wakasombwa waje wajae mkutanoni lakini baada ya mkutano kuisha kikatokea hicho kwenye picha
  2. sangas

    Kontena futi 20 linahitajika haraka

    kwa alie na container la futi 20 kwa dar es salaam tuwasiliane pm au piga 0658713343 tupatane bei
  3. sangas

    Office job assisters

    wandugu tunatoa huduma ya usaidizi/assist kwa wafanyakazi mbalimbali walioajiriwa na kubanwa na kazi za kiofisi na kuhitaji msaada ili kumaliza task zao kwa mda stahiki tutakusaidia kwa malipo kidogo Tupo dsm lakini hata mikoani tutakuja kwa makubaliano maalumu Tupo na personel ya fani...
  4. sangas

    simu za itel kwa bei poa

    kama unahitaji simu za itel kwa jumla ni pm bei ni 15,000@ tupo mbeya mjini kwa wauzaji wa jumla tu.
  5. sangas

    'Juice' kwa Kiswahili inaitwaje

    wana lugha najua mnaweza kunipa ufafanuzi juu ya hili, nina mtoto ambaye anasoma class 4,na anapenda kujua maneno mengi ya kiingereza na kutafsiri kwa kiswahili,sasa kaniuliza JUICE kwa lugha yetu inaitwaje nikamjibu niJUISI hakuridhika,na mm ndo dad
  6. sangas

    Naporwa Nyumba kwa Sababu ya Mkopo wa 3rd Part

    Ndugu wanasheria niwekeni sawa kwa hili, Kampuni yetu ina nyumba mjini, na mmoja wa wanahisa alikopa katika taasisi fulani na akaweka hati ya kampuni (bila makubaliano). sasa mkopo hakumalizika kulipwa na wameshauza nyumba,nilifungua kesi, mhisa hakutokea naomba ushauri nifanyeje?
  7. sangas

    Biashara ya voucher jumla

    Waungwana kwa mwenye ufahamu na uzoefu wa kuuza voacher za airtel,voda,tigo na zantel kwa jumla. Mahali zinapopatikana,faida yake,na mahitaji ya mtaji ili uweze kusambaza katika maduka ya rejareja.return inakuwagaje?
  8. sangas

    Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

    Dr.slaa yupo kyela kwa mkutano ambao umeathiriwa na mvua na kusimamisha kwa mda sasa,naona mh.sugu na viongozi kadhaa wa chama
  9. sangas

    Business Ideas and opportunities

    tumekusoma vilivyo
  10. sangas

    Fashion and design school in DSM

    Wana jf. kwa yeyote anayefahamu chuo,shule,training ama any school panapotolewa fashion and designing training anijuze
  11. sangas

    natafuta mke wa kuoa

    Kwa wadada wenye age below 35,nahitaji mke hata km ana mtt 1,elimu atleast f4.mi ni bizs man elim chuo kikuu.miaka 33.awe na kazi hata km la.ila awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa.cna mtt na ni single man.ni pm kwa detail karibu wadada
  12. sangas

    Soko la unga wa mhogo,mihogo na maembe msaada

    wana jamvi ninatafuta soko la unga wa mihogo na mihogo yenyewe inapatikana kwa wingi na kama mtu anajua wapi nitapata soko hilo hivyo anijuze tafadhali
  13. sangas

    SIKUBALIANI na madaraja mapya ya f4&f6

    wana jf.kwa maoni yangu naona kushusha madaraja ya ufaulu kwa k4 na k6 si mpango mzuri kwa kuboresha elimu.ila ni juhudi ya kutafuta sifa na kuondoa aibu ya matokeo ya k4 na k6.kwa mpango huu mpaka watoto wanaopata wastani wa 20 watakuwa wamefaulu?.
  14. sangas

    Ubia/funding/loan/partinership ya kujenga business mall kyela.

    wana jf natafuta mbia/partinership au mkopo wa mda mrefu kwa ajili ya kujenga business mall ambayo itakuwa kyela mjini ni centred kiwanja ni kikubwa cha kutosha kujenga business mall ambayo itakuwa na shop apartments,office apartments,restaurants,workshops,functional halls,rest house.nimejaribu...
  15. sangas

    Sitamani kuua kabisaaaaaaa

    kwa namna moja ama nyingine it makes mi not to live with a woman yaani mke kwani always in ma age with two good prepared gel to be ma wife 4 different vipinds they all end up marrying other men with no strong reason to either side so cms their relation ilikuwepo b4 so tulikuwa kamtandao this...
Back
Top Bottom