Toyota Progres hii gari nimetokea kuikubali sana, lakini sijui upatikanaji wa spare parts zake ukoje na fuel consumption zake sijui ukoje .. Kwa mwenye kuijua naomba anipe darasa kidogo maana nataka kuivuta mambo yakienda sawa...
Kwa wadau wa movie
Filamu mpya ya Anton Fuqua THE OLYMPUS HAS FALLEN inaangukia kwa star Gerald Butler anayecheza kama mwana usalama aliyepoteza ajira yake kutokana na kifo cha first lady kilichosababishwa na ajal ya gari.. Lakini anapata nafasi nyingine ya kurudisha heshima yake pale...
Hii nimeitoa sehem flani...
Jamaa
Katika pilika zake za hapa na pale akiwa stend kuna
dada kadondosha simu
akaiona akamuita daah dada
alivyomsonya dah mtu mzima
akaaibika akaikota ile simu na kuondoka nayo
baadaye
akampigia akamwambia yeye ni
mwenye simu jamaa akamuambia na
mimi ndiyo...
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa mtu mwenye hasira nyingi tofauti na zamani.
Mtu anaweza kunikorofisha kwa jambo dogo ila mimi nikalichukulia kwa mapana sana.
Sijajua tatizo ni nini ila hiki kitu nakuta kimenitokea tu.
Je hili jambo linasababishwa na nini?
Ipi suluhu yake na kuna dawa...
Naombeni kufahamu ukweli kuhusu Jean Claud Van Vernberg a.k.a Van Damme katika filamu ya CYBORG iliyotoka mwaka 1989
Zamani katika miaka ya 1990 niliangalia filamu hii ya CYBORG lakini kuna mtu aliniambia wakati wa matayarisho ya filamu hii kuna kipande ambacho Van Damme aliua mtu kwa bahati...
Nimefikiria kwa hali ilivyo hapa nchini ikifika wakati umeweka ka vocha kwenye simu yako lakini kinachokukuta ni hiki..
Recharge Successful.You have recieved tsh:5000. from
no. 07*****658 Deductions;
>VAT 25%
>Inflation adjustment 15%
>Pay as you Talk 10%
>System Maintainance fee 20%...
Recharge Successful.You have recieved tsh:5000.
no. 07***658 Deductions;
>VAT 25
>Inflation adjusment 15%
>Pay as you Ta 10%
>System Maintainance fee 20%
>Tanzania for tanzania deduction 17%
>GOVT Support Fund 5%
>Basefuel Tax 6%
>other tax 1.5
A plane with 5 passengers was
about to crash mid-air and there
were only 4 parachutes.
1st passenger - Lionel Messi: I'm
the world's best footballer, my
fans still need me. He takes one
and jumps.
2nd passenger : Aliko Dangote:
I'm Africa's richest man. I don't
want to die now - I'm an...
Kwa mara ya kwanza leo nashuhudia Serikali ya CCM kupitia Waziri wa mambo ya nje Mh.Bernard Membe ikukubaliana na hoja zote za upinzani katika kujadili Bajeti ya wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
Nimesikia kwenye taarifa ya habari ITV
Tembo saba kutoka hifadhi ya taifa ya Tsavo nchini
Kenya waliovamia mashamba na kufanya uharibifu
mkubwa wa mazao ya wakulima wa kijiji cha ngoyoni
wilayani rombo wameuwawa na majangili na
kuwangoa meno ambayo walitoweka nayo.
Sijaelewa...
A woman was having sex in an
apartment 20 floors high with
another man.
She then heard her husband
coming..
She told her lover to stay like
robot and not to move.
Husband : What is this ?
Wife : This is a robot i bought to
have sex with when you are
traveling....
Husband : Okay.. Lets...
Nimepitia thread moja ya mdau hapa JF ikieleza namna nauli za SUMATRA zilivyopangwa kifupi kwa hapa bongo sijajua kampuni gani ni Ordinary na nyingine ni Luxury au Semi luxury... Au mabasi gani ni Ordinary, Semi Luxury an Luxury.. Kwa mdau yoyote anaeweza kufafanua hili jambo msaada tafadhali...
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini SUMATRA imetangaza viwango vipya vya nauli za mabasi ya masafa marefu, daladala katika jiji la Dar es Salaam, nauli za usafiri wa reli ya kati na bandari.
Viwango hivyo vimetolewa kutokana na SUMATRA kufuatia maombi rasmi kutoka kwa wamiliki...
Katika hali ya kushangaza kidogo kama siyo ya kustaajabisha mtandao wa tigo kupitia ukurasa wake wa facebook umewatakia wateja wao usiku mwema hali ya kuwa ni mchana kweupe.
Tigo Tanzania
Muwe na usiku mwema...
9 minutes ago · Like · Share · Report
Source: facebook.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.