Search results

  1. mwl. mziray

    Tahadhari: Mshauri wa familia kampa mimba mke wangu

    Ndugu zangu napenda kuwashirikisha kisa hiki cha jirani yangu ili muwe makini na hawa washauri wa familia zenu. Jirani yangu amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya (Pumu) kwa muda mrefu hali iliyopelekea kushindwa kumtendea haki mkewe katika maswala mazima ya vuta nikuvute wawapo ulingoni...
  2. mwl. mziray

    Vipi bei ya sukari katika supermarket za Jeshi?

    Habari ndugu zanguni? Kwa kawaida bei ya bidhaa ktk supermarket za Jeshi hutofautiana na bei za mitaani. Mara yangu ya mwisho kununua sukari ktk supermarket zao ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa sita ambapo nilinunua 1kg kwa sh.1550/= wakati huo sukari ikiuzwa sh.2000/= mtaani. Naomba tujuzane...
  3. mwl. mziray

    Wadada wa kazi wapewe muda wa mafunzo kabla ya kuanza kulipwa

    Amani kwenu wanaJF, Nimeleta mada hii kutokana na changamoto mbalimbali ninazoziona kwa hawa dada zetu wanaotusaidia kazi za ndani. Mara nyingi wamezoea siku ya kwanza tu wanapofika nyumbani kuanza kuhesabu siku za malipo halikuwa unakuta baadhi yao hawawezi kufanya kazi kwa ufanisi...
  4. mwl. mziray

    Dawa za mapenzi watoazo waganga wa jadi na nanuwio yake

    Salamu kwenu ndg wanaJF, Leo nimeona niwashirikishe baadhi ya dawa za mapenzi wanazozitoa waganga wa kienyeji ili manzi flani akukubalie kinapenzi. Utafiti huu niliufanya kwa mtaalam flani.Mteja alipomaliza kujieleza, mtaalam alijifunika kitambaa chekundu na kuanza kupiga chafya za hapa na...
  5. mwl. mziray

    Hofu: Usalama wa binti zetu shule za bweni/hostel

    Habari wanaJf. Tukiwa kama wazazi/walezi wa wanafunzi wa kike wanaosoma shule za bweni kuna mambo ambayo hatuyafahamu lakini yanatendeka na ni hatari kwa afya za binti zetu na kitaaluma pia. 1.Wanafunzi wengi hugeuzwa wake wa walimu pindi wanapojiunga na shule za bweni. Baadhi ya walimu hao...
  6. mwl. mziray

    Msaada: Singsung tv 21" inasumbua kuwaka.

    Habari wana JF. Nna tv aina ya singsung 21" ambayo tangu niinunue haijatimiza miaka miwili. Tv hii inatatizo ktk kuiwasha kwani nibonyezapo kitufe cha kuwashia huanza kuwaka na kuzima hapohapo. Kinachonishangaza zaidi ni kwamba tv hii ifikapo usiku ambapo watumiaji wa umeme huongezeka ndipo...
  7. mwl. mziray

    JKT wasimamie mitihani ya taifa (NECTA)

    Habari wanaJF. Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia uvujaji wa mitihani ktk shule mbalimbali au kitaifa hali inayopelekea baadhi ya wanafunzi kufutiwa matokeo ya mitihani yao. Uvujaji wa mitihani upo wa aina mbalimbali kama nje ya chumba cha mtihani na ndani ya chumba cha mtihani. Leo nataka...
  8. mwl. mziray

    Wafanyakazi wa kampuni za ulinzi kugeuka ombaomba wawapo makazini

    Habari wana JF, Kwa muda mrefu nimeshuhudia wafanyakazi wanaoajiriwa na kampuni za ulinzi kulinda ktk taasisi mbalimbali, wakiombaomba fedha kwa wateja wa taasisi hizo. Kwa mara ya kwanza niliona mchezo huo nikiwa nasoma chuo kimoja pale Dar es salaam maeneo ya Taifa ambapo nilizoea kuona...
  9. mwl. mziray

    CCM inavyoshiriki kuua elimu kupitia shule za Jumuiya ya Wazazi

    Hivi karibuni tulisikia baadhi ya wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kuwania nafasi ya kuipeperusha bendera ya chama hicho ktk uchaguzi mkuu wakitilia mkazo zaidi katika suala la "elimu" Nilipata wakati mgumu na kujiuliza maswali mengi kama ni elimu ipi wanayoizungumzia haswa hali...
  10. mwl. mziray

    Siasa za CCM na elimu

    Hivi karibuni tulisikia baadhi ya wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kuwania nafasi ya kuipeperusha bendera ya chama hicho ktk uchaguzi mkuu wakitilia mkazo zaidi katika suala la "elimu" Nilipata wakati mgumu na kujiuliza maswali mengi kama ni elimu ipi wanayoizungumzia haswa hali...
Back
Top Bottom