Search results

  1. mapunda b

    Note 2 na 7105 inauzwa bei cheee!

    Almost new , only used for 2 days...na ina kila kitu chake ...comes with earphone ,charger an user manual na ina screenprotector Specs; Samsung Galaxy Note 2 GT-N7105 Full Specifications and Features | DroidGOD Price ni 430k. Text me through 0653611245 [emoji181] Nko dar kimara
  2. mapunda b

    Wale wa transfer TCU mambo yashaeleweka tayari

    WE TEMBELEA TUH KWA PROFILE YAKO SASAIV BILA KUCHELEWA ......:A S-fire1::attention: http://cas.tcu.go.tz/users/login
  3. mapunda b

    Wale TCU 2nd round, tembelea profile yako sasa hivi

    Fanya hivyo na mjulishe na mwenzako kama uko selected itakuonesha kama bado jaza upya unfilled slots........ Have a nice go guys...
  4. mapunda b

    Used HP laptop 8440P na Blackberry torch 9800 zinauzwa bei chee

    Brand Name: HP elitebook 8440p Conditions: used but in good condishion Colour:Titanium silver WebcaM:2MP screen: 10.1 inches RAM: 4GB Processor speed: 2.56Ghz Intel core i5 Hard disk space: 500GB Fingerprint, WI-FI ,external volume adjustment knob, Memory card slot/card reader slot,VGA...
  5. mapunda b

    Msaada tecno f7 kwa wanaofahamu

    Wakuu tecno f7 inakataa kafanya video call hasa kama nataka kumpigia mtu ila nikipigiwa inakubali. Nikitaka kupiga inaandia 'VIDEO CANT BE SET UP',sijafaham nifanyaje apo ili iwe poa msaada tafadhari... Thanks in advance
  6. mapunda b

    Msaada juu ya hili tafadhali....

    katika arakati za kuulizia online bei za galaxy s4,note 2 na 3 ambapo nliambiwa izo bidhaa zipo Egpty bei ni Note 3 cost $350, Note 2 cost $250 and the S4 cost $300 na nkaambiwa n freeshipping ad dar na naweza pata ndani ya siku mbili... je iv ni kawaida kwa izo divice kupata kwa iyo bei? Pia...
  7. mapunda b

    msaada tafadhari juu ya izi bei

    katika arakati za kuulizia online bei za galaxy s4,note 2 na 3 ambapo nliambiwa izo bidhaa zipo Egpty bei ni Note 3 cost $350, Note 2 cost $250 and the S4 cost $300 na nkaambiwa n freeshipping ad dar na naweza pata ndani ya siku mbili... je iv ni kawaida kwa izo divice kupata kwa iyo...
  8. mapunda b

    BEI ZA GALAXY NOTE 2 NA S4 USED.......msaada pleaz...

    kwa anaefaham bei za samsung galaxy note 2 na S4 ambozo ni used na ziko kwa good condition naomba mnojuze tafadhali hasa kwa hapa bongo.... thanks in advance..
  9. mapunda b

    msaada;anaye fahamu bei ya tecno n3, memory card ya 32GB,battery yake moja[extra]........anitaarifu

    kichwa kinajieleza wakuu...................pia ningefurai hi kama ningepata na mawasiliano.........kwani mimi nko mkoani thanks
  10. mapunda b

    FUNDI MZURI WA DIGITAL CAMERA [Samsung ST30]ANATAFUTWA AWE WA DAR AU MORO.........

    nina kamera yangu samsung ST30 inakataa kuwa na mara chache ikiwaka inajizimazima yenyewe au screen inakua green sijaelewa tatizo ni nini haswa na uku niliko sizanikama kuna mafundi wa ukwel kwan wengi ni wababaishaji hivyo kwenye tarehe 15 mwezi huu mama yangu anakuja dar akielekea moro so kwa...
  11. mapunda b

    msaada;fundi mzuri wa digital camera(samsung ST30) dar au morogoro..........

    nina kamera yangu samsung ST30 inakataa kuwa na mara chache ikiwaka inajizimazima yenyewe au screen inakua green sijaelewa tatizo ni nini haswa na uku niliko sizanikama kuna mafundi wa ukwel kwan wengi ni wababaishaji hivyo kwenye tarehe 15 mwezi huu mama yangu anakuja dar akielekea moro so kwa...
  12. mapunda b

    Msaada:kwa anayefaham iv TZ01 ndo mtandao gani na inakuaje ukitaka kuutumia?

    Katika pitapita zangu na kusearch network zenye 3g nkakutana na iyo kitu ufafanuzi tafadhari......
  13. mapunda b

    msaada modem yangu ya huawei inanitoa jasho

    natumia modem ya huawei e153 ya airtel mkoan mtwara uku na nikwa mda mrefu 3g network ilikua aipatkan sasa yapita siku tatu sasa imeanza patikana hasa kuanzia jion ila sasa nikiconnect siwezi chukua mda mrefu kama lisaa iv then inajidisconnect afu inashindwa kuconnect tena atakam nikiipeleka...
  14. mapunda b

    naomba kujuzwa juu ya hili...., tafadhari

    wanajamvi ningependa kufahamu kampuni zingine za simu ambazo wanasoftware zinazoweza kuconnect kati ya simu na kompyuta yako na kuweza kutuma sms,kupiga simu au kupokea na mengine mfano nokia wanayo nokia pc suit nawasilisha.,...
  15. mapunda b

    naitaji kununua tecno n3 mpya kwa 150000tsh

    kama kichwa kinavyo jieleza ningependa iwe mkoa wa morogoro au ata dar nawasilisha....
  16. mapunda b

    ivi inawezekana kudownload windows8 if yes msaada wa direct link tafadhari.....

    msaada wenu wakuu juu ya hili thans in advance
  17. mapunda b

    MSAADA: Anayeweza kunisaidia link ya kupata Adobephotoshop CS5 au CS7 Extended_______

    naombeni mnisaidie iyo kitu kwani nmejaribu kugoogle ila option nazoletewa nashindwa elewa vizuri kwani nyengine sutup zao n kubwa mno mfano 1GB n.k naomba yenyewe isizidi 250 tafadhari............. nawasilisha................
  18. mapunda b

    nokia n900 wapi inapatkana na kwa gharama gani?

    naomben mnisaidie bei yake na wapi zinapatikana kwa urahisi hasa mpya
Back
Top Bottom