NADHARIA Threads

  • Article
Wadau habari zenu! Tumemfanyia tohara Jana mtoto wetu wa miaka 2. Mbaba mdogo akanipigia akaniambia tuache kushiriki/kukutana na mke wangu hadi watoto wapone. Ni mwiko kabisa. Je, ni kweli wadau?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article
Hivi ni kweli kuwa kuna watu ambao hutoa nafsi zao ndani ya miili yao (Astral Projection)?
2 Reactions
22 Replies
4K Views
  • Article
Hoja hii iko vipi kisayansi? Wanawake wanaobana simu zao katikati ya brazia na matiti, ni kweli kuwa wako katika hatari ya kuivaa saratani ya ziwa?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Article
Miaka ya hivi karibuni, matumizi ya dawa za uzazi wa mpango (Vidonge na Sindano) yameongezeka sana, hali inayozua wasiwasi wa usalama wake miongoni mwa watumiaji. Baadhi wameonesha wasiwasi wao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Article
Mdau wa JamiiForums amedai kuwa jamii za wafugaji ni warefu kwasababu wanakunywa sana maziwa tofauti na jamii za watu wasiotumia maziwa. Amebainisha baadhi ya sababu ni kutokana na maziwa kuwa na...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
  • Article
Matumizi ya muda mrefu ya mafuta ya nywele aina ya body luxe (body luxe hair oil) husababisha mvi kuota kwa kasi katika umri mdogo. Hapa nazungumzia haya mafuta ya nywele ya body luxe yenye kopo...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
  • Article
Baadhi ya wanachama wa JamiiForums wamedokeza kudai kwamba huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili. Aidha, madai hayo yanabainisha kwamba wagonjwa wamekuwa wakiahidiwa kuletwa kwa huduma hiyo lakini...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article
Yapo maoni ya watu mbalimbali kuwa vyakula vilivyobadiliwa vinasaba GMO ni hatari kiafya na vimetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi. Je ukweli upoje kuhusu jambo hili?
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom