Recent content by Zegreaty

  1. Zegreaty

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Hivi wazazi wako wanajua kama unawafedhehesha humu mitandaoni ? Hata machawa wa enzi hizo mitandaoni kina Kimeta Wa Mpuhi hawakua hivi kabla ya uteuzi tuliza kipago wakati mwengine kama sio yeye kuna sababu gani yakutoa maelezo kibao
  2. Zegreaty

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Mnavyotumia nguvu kujitetea mngekuwa mnaleta maendeleo ingekua safi weka komando hapa weka muuza madafu pale wasalimiane au komando akanunue madafu kwa yule mwana muondoe ubishi vinginevyo acheni kelele
  3. Zegreaty

    Tundu Lissu Kuibukia Manyara. Ataongoza Maandamano ya Amani

    Sema masisiemu acha kutuzungumzia watanzania Huna mamlaka hayo we endeleza uchawa unaweza kulamba teuzi ukalambe watu miguu
  4. Zegreaty

    Serikali iitishe kura ya maoni Wazanzibari waamue upya kama wanautaka muungano ili isionekane tunawalazimisha

    Wanalia lia sana hawa watu ifike wakati maamuzi magumu yachukuliwe wenyewe wamejaa kuuza samaki hadi vichochoroni huko bara lakini hawataki wabara wakafanye kazi,na kazi zenyewe wawe wanaweza sasa kufanya,huku wanapewa URC,DC na nyadhifa mnalimbali kwao ni wao kwa wao bado hawaoni hayo yote
  5. Zegreaty

    SGR yetu waweke Polisi au JKT chooni!

    Kwanini wawekwe askari ? Unawekaji watu ambao makazi yao tu waliyowekwa sio nadhifu atawezaje simamia usafi?hebu tuwe serious kidogo na mambo ya msingi kushindwa ku maintain usafi ni namna fulani yakuonesha umaskini na ujinga tulionao
  6. Zegreaty

    Uwanja wa Taifa ni mchafu sana

    Nenda pale wizara ya ardhi mjini kati kabisa pembeni ya ikulu halafu cheki ile hygiene ndio utaelewa ni namna gani tuna shida, na kama vitu vidogo kabisa vinatushinda tutawezaje kuwahudimia watanzania kwamafanikio kama basic things zinashindikana
  7. Zegreaty

    KCB na Equity Bank wanafanya biashara na BoT?

    Wanazilinda wenyewe kwakurejesha mikopo yao kwa wakati
  8. Zegreaty

    KCB na Equity Bank wanafanya biashara na BoT?

    Hoja yako ni ipi hapa? Hawa wafanyabiashara ndio wanazionea hizi benki zakigeni kwakufanya ma forgery ya security na deni kuongezeka nikawaida unadaiwa hela ya watu unakaa nayo more than 10yrs hulipi kwanini isiongezeke kumbuka hizo ni deposit za wateja ulikopeshwa ulitarajia wakienda benki...
  9. Zegreaty

    Utukufu, Sifa na Shukrani ni za Mungu Juu Mbinguni na Siyo kwa Wanasiasa kama Wafanyavyo Chadema kwa Tundu Lisu!

    Mteule huyo wa Mungu amepona risasi zaidi ya 20 unadhani ni mtu wa kawaida?
  10. Zegreaty

    Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

    Sisiemu walikutawala miaka 60 wamekupa nini? Nani kakulazkmisha uandamane ? Tuliza fuvu hilo
  11. Zegreaty

    Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

    Kwenye hotuba yake ya kwanza tu alishawatahadhalisha kuwaambia nadhani mnajua misimamo yangu kama hamuiwezi ni bora mkaniondoa mapema mwisho wa kunukuu,anaishi anachokiamini na je unadhani hayuko sahihi?
  12. Zegreaty

    Mkosoaji wa Serikali ‘aliyetekwa’ siku 5 zilizopita Mbeya apatikana Igunga

    Halafu kuna kibaka mmoja wa yuvisisiemu anatishia kupoteza watu na hakuna kitu wanamfanya halafubkesho ndio yanahubiri amani na mshikamano na uzalendo majitu ya hovyo kabisa
  13. Zegreaty

    Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Nchi ambayo inamtendaji katika ngazi ya kata,trafalgar,kijiji na hadi mtaa lakini DC anakuambia anataka kukagua miradi? Kwanini msiwajengee uwezo hao watendaji wangekua wasimamizi wazuri sana kwenye maeneo yao mana wanafanya kazi huko miradi ilipo sasa unakuta gharama zakukagua mradi misafara...
Back
Top Bottom