Kwa nini mikopo chechefu? mikopo chechefu inaanzaje anzaje, inaanzia kwa nani hadi iitwe chechefu. Tutafakari tusaidie taifa?
Mabenki yamekuwa yanatangaza faida kubwa kuwa wamevuka lengo kumbe ni sanaa, haki za wafanyabishara zipatikane wapi?
Debt collector ndo maelekezo yako hayo.(faida kubwaaa vs mikopo chechefu). Mkopo usd milioni 5 mfanyabiashara anaambiwa alipe usd milioni 20, akimbilie wapi?
Nani wa kuwasemea wafanyabishara nchini? Why ni Equity bank na KCB za kenya? Joseph yona part one.
Nimejaribu kusoma gazeti moja, ambalo limetuhumu lenyewe wafanyabiashara, limejihukumu lenyewe, kwa kutukana vyombo vya sheria nchini.
Leo Gazeti hilo limeishangaza nchi kwa kutumika na Mabenki, yaani leo Mabenki yanatafuta haki kwenye magazeti, Yanatoa Taarifa za wateja Mabenki yanatafuta sympathy kwenye media, kwa nini Taarifa za siri ambazo wameziongezea Chumvi kati yao na wateja wao kwenye gazeti?
Je gazeti lilishawahi kuhoji kwa nini TADB benki ya wakulima ilifilisika na je ilifilisiwa na nani au waliofilisi benki hiyo ni wanaofadhili gazeti hilo lisilo na ofisi?
Na ni Kwa nini ziwe benki mbili za kenya, equity na KCB why? Hawa watu ni wezi, wanawarubuni wafanyabishara, kwa nini benki zinatumia waandishi wa habari, kwa Nini kila siku benki zinatangaza faida kumbe wizi mtupu.
Lazima B.O.T (Benki kuu ya Tanzania) Waziangalie benki ambazo zinatoa taarifa za wateja kwenye media, hakuna mtu ambaye anaweza kuuziwa mali zake na bila kwenda kwenye vyombo vya sheria ambayo ni mahakama, Lazima B.O.T Ijiridhishe kama hiyo mikopo inayotolewa na KCB, na Equity je inapita kwao au wanafanya Biashara haramu?
Mabenki mengi yanawaumiza wafanyabishara, Riba ni kubwa kwa wafanyabishara, Mfanyabiashara anakopeshwa Usd Milioni 5 na baadaye anadaiwa Usd milioni 20 kwa nini mfanyabiashara asikimbilie kwenye vyombo vya sheria Mahakama, Hakuna mtu anayekimbia deni, sababu ya kukimbilia mahakamani ni haki, kama benki ina uthibitisho iseme inachodai na si kukimbilia kwenye vyombo vya habari.
Kwa nini Mtu akashindwa kesi sawa ila akishinda si sawa, Tanzania yenyewe serikali ilikuwa inadaiwa, na ndege zikakamatwa mbona walipeleka kwenye vyombo vya sheria, Mbona kuna wafanyabishara Wengi mahakama hizo hizo zinawauzia vitu vyao kwa mnada, mbona wafanyabishara hawakimbilii magazetini?Faida kubwa kwa mabenki ni kazi kwa ya wafanyabishara.