Recent content by Xian

  1. X

    Naombeni ushauri wenu wa haraka

    asante nilishafanikiwa kupata ujauzito kwa njia ya kawaida
  2. X

    Naombeni ushauri wenu wa haraka

    asante sana nadhani kuna post yangu nimeshaiweka nilisaidiwa dawa mbadala humuhumu jf na sasa nina ujauzito wa miezi kadhaa
  3. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    pole kwa kuchelewa kukujibu ila nimejibu tayari
  4. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    mimi hapana ila sina hamu ya kula kabisaa
  5. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    amina nashukuru sana nimesimama imara kwenye imani. asante kwa kuniombea Mungu wetu ni mwenye huruma nina mwamini nitafika salama
  6. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    Asante sana nimeshafanya hivyo kwa wengine na baadhi wameshafanikiwa haraka wengine naendelea kuwa tia moyo labda nao watachelewa kama mimi ila itawasaidia
  7. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    I wish nijue kupost picha hapa maana kuna watu wanaona nafanya promo ningeweka vyeti na vipimo vyote vile vya kwanza na nilivyopimwa sasa, na niakapoendelea ili wajua siko kipromo. ni kushukuru na ninajua wengi wanatatizo kama hili langu.
  8. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    ooh asante sana dua lako likawe zuri
Back
Top Bottom