Search results

  1. X

    Naombeni ushauri wenu wa haraka

    asante nilishafanikiwa kupata ujauzito kwa njia ya kawaida
  2. X

    Naombeni ushauri wenu wa haraka

    asante sana nadhani kuna post yangu nimeshaiweka nilisaidiwa dawa mbadala humuhumu jf na sasa nina ujauzito wa miezi kadhaa
  3. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    pole kwa kuchelewa kukujibu ila nimejibu tayari
  4. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    mimi hapana ila sina hamu ya kula kabisaa
  5. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    amina nashukuru sana nimesimama imara kwenye imani. asante kwa kuniombea Mungu wetu ni mwenye huruma nina mwamini nitafika salama
  6. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    Asante sana nimeshafanya hivyo kwa wengine na baadhi wameshafanikiwa haraka wengine naendelea kuwa tia moyo labda nao watachelewa kama mimi ila itawasaidia
  7. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    I wish nijue kupost picha hapa maana kuna watu wanaona nafanya promo ningeweka vyeti na vipimo vyote vile vya kwanza na nilivyopimwa sasa, na niakapoendelea ili wajua siko kipromo. ni kushukuru na ninajua wengi wanatatizo kama hili langu.
  8. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    ooh asante sana dua lako likawe zuri
  9. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    nilishawahi kufanyiwa operationa ya sisti( sorry siwezi kuandika kwa kizungu hiyo sisti) nikiwa fm four 2005 na niliambiwa ovary yangu iliharibika na kutolewa ikabaki moja nayo ikawa nusu mbovu, miaka imeenda nimeolewa naafua mtoto hakuna ndio nikashauriwa kupima, mrija mmoja nilio baki nao...
  10. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    asante sana kwa kuendelea kunitia moyo
  11. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    hakunipa masharti ni kitu ambacho alivyoniambia hata mimi ni dharau ila nilijipa moyo tuu ni maini robo na nyama ya ng'ombe sehemu ya nundu iliyojaa mafuta unapika pamoja bila maji coz maini yatatoa maji nundu itatoa mafua itaiva then kuna dawa ya kimasai jina niliandika kwenye diary nikiisoma...
  12. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    nina imani wau kama nyie pia nimeshawashukuru hapo juu
  13. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    yaani hawajui hiki kitu ukisikie kwa jirani tuu hata hivyo itauma, hili jambo linaumiza sana
Back
Top Bottom