Recent content by Wisdom youlth

  1. W

    Sintofahamu baina ya JK na Kagame; Tanzania tuwe makini na suluhu tuitakayo!

    Kwa jopo la upatanisho naungana na wewe mzee salim pamoja na mzee mkapa wangesimamia hii suluhu,,, kwa upande wa nguvu za kijeshi umesema Rwanda akianza malawi nae anaweza kuja nyuma yetu,,hilo ondoa shaka mkuu kwa huku malawi Mbeya inawatosha,, na huko juu ni Mwanza tu! Bila kuchukua wajeshi...
  2. W

    Je FIRTSBORN wengi ni mzigo kwa familia

    Kiukweli inategemeana na hali za familia ila kiujumla first born kama ni wakiume au wakike huwa wanakuaga na mzigo mkubwa angali watoto ndio maana wengi wao huwa fast kwa kila kitu,,,, kwetu sisi firstborn ni wakike na secondborn ni boy huyu sister wetu akiwa na umri wa miaka kumi darasa la...
  3. W

    Naomba nijibu haya kuusiana na virusi vya HIV

    Hii elimu ya ukimwi kila kuchwao inatolewa lakini maswali na majibu ni tofauti mfano; jamaa kauliza mate yanaweza ambukiza vvu,,,? Ni swali namba nne kama sijakosea, kuna gazeti moja nilisoma kwamba kuna kifaa kimegunduliwa kwa kupimia ukimwi kwa njia ya mate,,hapo hapo tunaambiwa hakuna vvu wa...
  4. W

    Alama ya "h"

    Nimekusoma mkwawa nimejaribu kuitafuta phone setting kwa kila namna sijabahatisha kuiona ilipo,, pili hili tatizo hili limeanza juzi jumatatu kwani hata nikiwa offline alama ya H inakua bado inaonekana mara ya kwanza ilikua safi nikinunua kifurushi cha 20mb kilikua kinakaa mpaka siku ya...
  5. W

    Alama ya "h"

    ndio mkuu je namna ya kuzitoa baada ya matumizi maana inaniumiza sana kwa kifurushi.
  6. W

    Alama ya "h"

    Habari wakuu nina nokia asha 303 kuna alama hapa juu karibu na bars za network haka kanabadilika mara "E" tatizo nikinunua kifurushi hakikai hata nisipo peruzi nakuta kimeisha kabla ya wakati wake nisaidieni jamani namna ya kukiondoa...
  7. W

    Nokia e71 na Nokia asha 303

    jamani nimepokea zawadi ya simu mbili moja ni Nokia e71 ipi ni bora kwa kuperuzi na uimara na Nokia asha 303 moja kati ya hizi nataka kumgei bwana mdogo me nibaki na imara kwa kuperuzi Natanguliza shukrani,,,,
  8. W

    Story behind your date of birth

    Mh! noumaa! Mie number 2 My2be namba 3,,,, imechoma mulemule.
  9. W

    I phone4 imeroga

    Ni mkuu kweli nilipata maelekezo kwa Pm
  10. W

    I phone4 imeroga

    Ningekupigia mkuu ilikua usiku na isitoshe nipo +277 but nashukuru nilifanikiwa.
  11. W

    I phone4 imeroga

    Nashukuru wakuu kuna mkali ali ni pm na kweli nimefanikwa nimerudi hewani tena.
  12. W

    I phone4 imeroga

    Msaada jamani iphone imeroga inatoa sound tu! Haisogei mbele wala nyuma ku crick ni double one click,, Program zilizipo chini hazipandi juu wala haziende left or right,,, plz msaada jamani.
  13. W

    Marufuku CD za Rogo, Uamsho na Ilunga

    Hamna lolote hapo walikua wapi,,,? Hizi cd zimetapakaa Congo,, south africa,,,zinauzwa ka babgum mpaka zimecross maborder mtawezaje kukzizuia nchini' ? Na mbaya mnazikamata kwa wamachinga badala ya kuzizuia kwa wazalishaji?
  14. W

    Mkawaida ndani ya nyumba

    Mkawaida come in sebuleni kabisa chagua mkekani au sofani utakapo keti,,? Alafu mkawaida toziii hata kureply haonekani duhh!! haya bana karibu toziiii
Back
Top Bottom