Nipo kwenye foleni maeneo ya Ubungo hapa, nimeshuhudia kijana wa watu tena mkakamavu tu akiwa na kibegi chake akikaribishwa mjini na hawa jamaa wa karata 3 au mda mwingine hutumia vipande vya biskuti kwa mtindo ule ule wa kutaka kujipatia mkwanja faster faster. Alikuwa analia ila wasamaria...
haya sasa kwakuwa kurudisha meli hatuwezi wala samaki wa watu, tujiandae kulipa pembe na meno ya ndovu, twiga kadhaa, almasi kidogo na maeneo ya uwekezaji bureee.....kwa hawa jamaa wanaotusaidia kutengeneza hata yeboyebo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.