Search results

  1. wilson peter

    Msaada display mtumba ya galaxy s6 plain

    Mwenye display ya galaxy s6 plain au mwenye access ya kuipata anijuze tufanye biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. wilson peter

    Kwanini wanasheria wanavaa suti ?

    Kama hujavaa black and white especially in the court, In the eyes of law utakuwa huonekani.
  3. wilson peter

    Msaada: Galaxy note 2, line ya tigo haisomi mtandao ila internet inafanya kazi

    Mkuu me natumia galaxy s4 - GT 19500 Imepata tatzo hilo 3 days ago
  4. wilson peter

    Utafiti: Kama huna hela kuishi jijini Dar es Salaam ni kuutaka ukichaa kwa makusudi

    hapo michango ya harusi/misiba hujaweka, bill za umeme..dah mujini pasua kichwa.
  5. wilson peter

    Kwa nini magari mengi yana rangi ya silver?

    mimi nimegundua hata gari likimbie vipi, matairi ya nyuma hayawezi kuyafikia ya mbele..
  6. wilson peter

    Mama Terry yuko wapi?

    mganga hajigangi mkuu#
  7. wilson peter

    Hii ndiyo Ubungo!

    mkuu umenifurahisha sana.. inaelekea kila mda wa lunch ulikuwa unawakumbuka majamaa.
  8. wilson peter

    Natafuta Nyama pori kwa DSM

    kuwa mwangalifu sana mkuu na hizo Nyama pori manake ebola yenyewe imetoka porini.. hata kale kaugonjwa kule Congo kalitokea porini. Afya muhimu
  9. wilson peter

    Hii ndiyo Ubungo!

    Nipo kwenye foleni maeneo ya Ubungo hapa, nimeshuhudia kijana wa watu tena mkakamavu tu akiwa na kibegi chake akikaribishwa mjini na hawa jamaa wa karata 3 au mda mwingine hutumia vipande vya biskuti kwa mtindo ule ule wa kutaka kujipatia mkwanja faster faster. Alikuwa analia ila wasamaria...
  10. wilson peter

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    champions are not those who never fail but those who never quit.
  11. wilson peter

    Sijavutiwa na Microsoft windows 8 kwenye matumizi yake

    tarehe 30 september mwaka huu window 9 itaachiwa rasmi, kaeni chonjo wadau mnaoenda na wakti.
  12. wilson peter

    kazi ya bunge

    habarini ndugu, naomba kujuzwa kazi ya bunge letu ni kutunga sheria au kupitisha sheria?
  13. wilson peter

    Serikali yashindwa kesi na Wachina walioshtakiwa kwa uvuvi haramu

    haya sasa kwakuwa kurudisha meli hatuwezi wala samaki wa watu, tujiandae kulipa pembe na meno ya ndovu, twiga kadhaa, almasi kidogo na maeneo ya uwekezaji bureee.....kwa hawa jamaa wanaotusaidia kutengeneza hata yeboyebo.
  14. wilson peter

    Tengeni Maeneo maalum kwa ajili ya kujenga Misikiti

    Hahahaha et bana watueleze. Njaa kwa mbaaal wanaanza kuskia sa 11 jion..
  15. wilson peter

    sony ericsson arc s for sale

    taja bei weka na picha. Acha biashara za maneno za kimakonde
  16. wilson peter

    visa credit card payment

    wadau kuna malipo flan ya visa ya uingereza inabidi nifanye ila nimeambiw nilipie online by using credit card, anaejua jinsi ya kulipa online kwa kutumia credit card anipe muongoza tafadhali.
Back
Top Bottom