Recent content by wendos

  1. W

    Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

    Haya ni matokeo ya mfumo mbovu wa tume za uchaguzi katika nchi zetu za kiafrika.
  2. W

    Kifunga mlango uswahilini kwetu!

    Hicho pia ni kipo bomba. Watu wanatumia msumari pekee!
  3. W

    Barabara nne Chalinze - Segera hadi Tanga

    Kwani hamjui kuwa viongozi wetu siyo Business oriented? Huwa hawafikirii athari ya miaka 100 ijayo wanajali kura za mwaka ujao. Nchi imeuzwa kila mahala. Mbuga, barabara, mahoteli, madini kila sehemu ni ujinga mtupu. Kama suala ni Bandari ya Tanga bandari yenyewe dhoflihali. Ni kweli mkuu...
  4. W

    Natafuta Rafiki, Mchumba

    Naam Ms Chite! Namaanisha kigezo cha kutendwa haswa kimenigusa! Ningependa uweke anuani ya mawasiliano ili tuweze wasiliana mpendwa. Mimi kiumri natarajia kufikisha hiyo miaka 37 Mwezi July. Nitafurahi sana kwani mapenzi ya dhati hujengwa na kamwe hayachipui kama uyoga! Nipo tayari kuwa...
  5. W

    Rostam, Lowassa wafumwa kikaoni

    Ufisadi wot huanza na vikao kama hivyo! Kazi nzuri kijana tusubiri na makamba atakuja na lipi CCM.
  6. W

    Gari linauzwa: Suzuki Escudo

    Mkuu hapo sijaelewa, kama unajua itakuwa imeuzwa mpaka kufikia tarehe hiyo kwanini sasa umeweka hii thread? Inamaanisha mteja unae tayari. Weka bei watu wapate kujua ili wajiandae.
  7. W

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Umakini unatakiwa wakati wa kujibu hoja! Inawezekana kweli Mh. Masha anataka kumsaidia Bw. Mengi katika hili. Ni sahihi, Mengi kama mwanajamii atoe uthibitisho maana yake aseme nani anamfanyia hizo ghiliba ili sheria ifuate mkondo wake. Kisura you are right!
  8. W

    Mbwete Na Vioja Vyake Open University Of Tanzania

    Kama chuo kinashindwa kuweka gari la dharura wakati wa mitihani sioni ajabu ya watu kutumia nyenzo. Lakini cha msingi ni kwa mwanafunzi kujua majukumu yako ni kusoma na kujiandaa kwa mitihani. Kughushi kunaonesha ni jinsi gani elimu yetu ilivyo ya kipuuzi. Tunaidhalilisha taaluma kwa kutaka...
  9. W

    Mengi: Manji anatoa wapi kiburi na ujasiri?

    Ama kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni! Mendi analalamika nini yeye mwenyewe ni m/kiti wa makampuni yanayotengeneza bidhaa feki. Colget ziko kama mihogo, Sunfill baada ya kuexpire zinafanyiwa promotion haoni huo ni uuaji kama si ufisadi? Afanye yale yamhusuyo kwa jamii aachane na...
  10. W

    Karume na mabinti wa kiarabu Zanzibar

    Karume hakulazimisha! aliwataka wazazi wawape watoto uhuru wa kuoa na kuolewa na wawapendao. Waarabu hawakutaka mabinti wao waolewe na waafrika ilihali wanawapenda. Pia watanzania tufanye utafiti wa historia siyo kila kinachoandikwa ni sahihi. Karume hakuwa Dikteta! ila hakupenda watu...
Back
Top Bottom