Nimelipia nguzo moja kuanzia 8/02/2018 nikaambiwa ndani ya siku 60 nitakuwa na umeme, nikavaa vazi la uvumilivu. Siku 60 zimeisha nimerejea wilaya ya Tegeta naambiwa hakuna nguzo.
Swali dogo lisilohitaji elimu ya shule "ni kitu gani kinachofanya Tanesco mnashindwa kutoa huduma kwa wakati...
Nina wasiwasi sana na ufahamu wako. Sijui kama umeelewa ulichoandika. Yaani wewe ufanye kazi na usipewe mshahara. Kweli?? Kabisa unaandika kama mtu. Nina mashaka wewe ni mtu hewa maana mtu halisi hawezi andika hivi hata kama ni kichaa.
Mbowe hayuko sahihi ni kweli, ila wewe hauko sahihi zaidi ya Mbowe.
Ihungo kwa sasa haina wanafunzi hao unaowatetea, ni shule ya Advance tu yaani ina form 5&6 tu.
Matumizi ya TIN
Kusajili gari
Kutengeneza lesseni ya udereva
Kuanzisha Biashara
Kila mtu mwenye gari ana TIN
Kila mwenye lesseni ta udereva ana TIN
Sijajua wanasajili TIN zipi hapo maana si kila TIN ni ya biashara.
Kama ni zote hapo na zingine nisizozifahamu hiyo takwimu haitatusaidia
Sikupingi wala sikubaliani na wewe kwa wakati mmoja. Si kwa sababu mimi ni mhusika ila ni kwa sababu napenda fact zaidi
Huo uhakiki ndio kwanza umeanza, wewe umejuaje wako 400+ au kama wanajulikana kuna haja gani kupoteza muda na rasilimali zingine kuhakikia wote wakati wanaotafutwa...
Duhhh, hivi sukari iliyoisha muda wake au isiyokidhi vigezo inapoingia nchini tatizo ni wafanyabiashara au idara ya serikali ya viwango??
Kwa nini tunatishana lakini ili kuamini wafanyabiashara ndio adui wa hii inch??
Viwango wakikataa kuipokwa sukari mbovu na kuiharibu kuna mfanyabiashara...
Something fishy hapa
2008-2014. Anasoma o level, for seven years
2009 anafanya kozi ngazi ya cheti wakati hana matokeo ya form 4
Msikasirike jamani nimejiongelesha tu mwenyewe kwa sauti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.