Search results

  1. Voice of Wisdom

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimelipia nguzo moja kuanzia 8/02/2018 nikaambiwa ndani ya siku 60 nitakuwa na umeme, nikavaa vazi la uvumilivu. Siku 60 zimeisha nimerejea wilaya ya Tegeta naambiwa hakuna nguzo. Swali dogo lisilohitaji elimu ya shule "ni kitu gani kinachofanya Tanesco mnashindwa kutoa huduma kwa wakati...
  2. Voice of Wisdom

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Asante kwa shule Lasway Je kwa ukubwa huu wa 15*8 unawweza kufanya kilimo kinachokupa return kiasi gani? Na je hii gh inakuwa na life span gani
  3. Voice of Wisdom

    Zanzibar waunda Muswada: Bidhaa toka Bara kutozwa VAT, Ajira serikalini kwa Wazanzibari tu

    Itabidi waanzishe sheria mpya ya VAT maana ya sasa imecover bara tu na kuexclude znz
  4. Voice of Wisdom

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Nina wasiwasi sana na ufahamu wako. Sijui kama umeelewa ulichoandika. Yaani wewe ufanye kazi na usipewe mshahara. Kweli?? Kabisa unaandika kama mtu. Nina mashaka wewe ni mtu hewa maana mtu halisi hawezi andika hivi hata kama ni kichaa.
  5. Voice of Wisdom

    Sikubaliani na wazo la Freeman Mbowe la kufunga shule ya Ihungo

    Ila serikali imeifanyia kazi na kuifunga. Je serikali imesuluhisha?? Wangekaa wapi ilihali miundombinu imeharibika?
  6. Voice of Wisdom

    Sikubaliani na wazo la Freeman Mbowe la kufunga shule ya Ihungo

    Mbowe hayuko sahihi ni kweli, ila wewe hauko sahihi zaidi ya Mbowe. Ihungo kwa sasa haina wanafunzi hao unaowatetea, ni shule ya Advance tu yaani ina form 5&6 tu.
  7. Voice of Wisdom

    TRA takwimu hizi mtupatie pia

    Matumizi ya TIN Kusajili gari Kutengeneza lesseni ya udereva Kuanzisha Biashara Kila mtu mwenye gari ana TIN Kila mwenye lesseni ta udereva ana TIN Sijajua wanasajili TIN zipi hapo maana si kila TIN ni ya biashara. Kama ni zote hapo na zingine nisizozifahamu hiyo takwimu haitatusaidia
  8. Voice of Wisdom

    Tetesi: Uhakiki vyeti TRA; 437 kupigwa chini

    Sikupingi wala sikubaliani na wewe kwa wakati mmoja. Si kwa sababu mimi ni mhusika ila ni kwa sababu napenda fact zaidi Huo uhakiki ndio kwanza umeanza, wewe umejuaje wako 400+ au kama wanajulikana kuna haja gani kupoteza muda na rasilimali zingine kuhakikia wote wakati wanaotafutwa...
  9. Voice of Wisdom

    Rais wangu, hii "kick" ni mbaya sana , utatusababishia matatizo na mataifa haya

    Duhhh, hivi sukari iliyoisha muda wake au isiyokidhi vigezo inapoingia nchini tatizo ni wafanyabiashara au idara ya serikali ya viwango?? Kwa nini tunatishana lakini ili kuamini wafanyabiashara ndio adui wa hii inch?? Viwango wakikataa kuipokwa sukari mbovu na kuiharibu kuna mfanyabiashara...
  10. Voice of Wisdom

    Tahadhari kuu

    Mashana jr natafuta taa ya hivyo kwa security purpose ndani kwangu maana nina mdokozi
  11. Voice of Wisdom

    Kamanda Sirro atangaza oparesheni maalum kwa wenye vyeti vya kugushi

    Hilo agizo ni tz nzima au dar tu?? Maana mamlaka ina eneo la kutawala, sasa sijui ni RPC katamka au ni kwa mamlaka ipi
  12. Voice of Wisdom

    Wasifu wa Agnes Marwa, Mbunge wa CCM aliyekataa Bunge Live

    Something fishy hapa 2008-2014. Anasoma o level, for seven years 2009 anafanya kozi ngazi ya cheti wakati hana matokeo ya form 4 Msikasirike jamani nimejiongelesha tu mwenyewe kwa sauti
  13. Voice of Wisdom

    Tunajidanganya na makusanyo ya Tax Arrears

    Umeandika vyema, nikuongezee kitu hapa. Domestic na large taxpayer ndio hao hao importers, mfano Azam, Metl, MMI, Aliyekuwa Home shoping, sunda, na wengine Tunawatoza kodi wakiimport na wanapopata faida pia (domestic). Hivyo basi adhari ya importation inaenda hadi domestic na large taxpayer
  14. Voice of Wisdom

    Bakhresa food products ltd kupunguza wafanyakazi 500

    Tulia, andika, proof read then post. Jibu hoja kwa hoja. Kupunguzwa kwa watu ni kwa sababu mzunguko wa bidhaa umekua mdogo. Demand ya soko imepungua, kiasi cha uzalishaji yabidi pia kipungue, sasa ili kumaintain faida ya mzalishaji njia pekee ni kupunguza expenses na mojawapo ya expenses ni...
  15. Voice of Wisdom

    Bakhresa food products ltd kupunguza wafanyakazi 500

    Fikiria wewe ni mtoto wa miaka 10 na baba yako ni kati ya 500 wanaopunguzwa halafu soma ulichoandika
  16. Voice of Wisdom

    Bakhresa food products ltd kupunguza wafanyakazi 500

    Great thinker indeed Watu 500 wana watu wangapi wanawategemea?? Kipato chao bila kujali walikuwa wanapunjwa au leo gafla kinatoweka?? Fikiria at 360 degrees, je hawa watu wana mbadala wa kipato hapo wanapopunguzwa kazi waliyokuwa wakipunjwa mshahara?? Wake na watoto, jamaa na ndugu waliokuwa...
  17. Voice of Wisdom

    Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

    Ndio kuna uhuru wa kujieleza ila balozi kuna vitu hakutakiwa kuvisema. Kuwa alienda kwa kuahidiea uwaziri, kuwa amerudi kwa sababu kuna vitu amekosa na hataki kukwamishwa shughuli zake na serikali? Kweli ni tamko lake aloandika with free consent?? Anataka kutuambia nn kuhusu waliosupport upande...
Back
Top Bottom