*TULIIBA KURA KILOMBERO 2015*
Na Peter Lijualikali (Mbunge).
Ndugu Zangu naomba niendelee Kusema Ukweli na Kufichua Baadhi ya Mambo tuliofanya CHADEMA ili Wokovu Uendelee Kunibariki Kabla Sijaondoka Duniani.
Wilaya ya Kilombero ina Majimbo 2, Mlimba (CCM aligombea Godwin Kuambi Sasa Mkurugenzi...
Hukumu ya hivi karibuni kwa Mzee JOHNSON FERDNAND na kutakiwa alipe faini ni Mchezo wa Kuaminisha kama Tupo salama Kapuni.TUCHUKUA TAHADHARI KWA MAISHA YAKO
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi nilipita Dar kulikuwa na kamvua kwa muda ,nyumba niliofikia wanakaa vijana wa Kiume kama vyumba vitatu wamepangisha nahisi ni wanafunzi wenza na G alienialika nifikie hapo kwake kumpunguza Baridi.
Nilishangaa sana kuona vijana wa Kiume wale Wa dar Wanalalamika barid kiasi cha kuvaa...
Hiyo gari si yake ya Za TRA zilionekana kwa TV nawakwepa kodi yawezekana Mkoa wake umepata mgao.acheni kuchukia mtu kila kitu.Wanawake mnawivu mbaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo gari si yake ya Za TRA zilionekana kwa TV nawakwepa kodi yawezekana Mkoa wake umepata mgao.acheni kuchukia mtu kila kitu.Wanawake mnawivu mbaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfalme na Wake zake YUKO hapa.(is)
Ama
Mfamle na Wake Zake WAKO hapa.(are)
Ama
Mfamle yuko hapa na Wake Zake (is)
Yote yaweza kuwa majibu pia
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.