kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,253
- 18,511
Ujinga ukipitiliza unakuwa upumbavu!Ni wazi kabisa wakili Msomi Msando anaweza kuwa na Msaada Mkubwa kwa Watu Wa Arusha Kuliko Makelele haya ya sasa.
Kwa msaada wa Kisheria na Kijamii naotoa kijana Huyu,CCM ikimsimamisha itapata Heshima kubwa sana.
Sambamba na Jimbo la Muheza/Handeni/Kawe ama Jimbo lolotea Mkoa wa Dar kwa MwanaFA Msanii Msomi vijana tutafurahi sana.
Sitashangaa wakiwa wabunge bunge Lijalo.
Kwako Mwalimu KashashaView attachment 1367444View attachment 1367445
Sent using Jamii Forums mobile app
We Mara mbili zote ulienda kufanya nn maeneo tata?Sasa nakonect picha ndio maana nilishamuona maeneo tata kama Mara mbili moja Kuna siku niliongozana nae kutoka knyama makumbusho akaingia pale getini Yani alikunja kushoto akazama ndani ila hiyo sio hoja siku nyingine nilimuona kwenye gorofa za kitengo maeneo ya upanga karibu na mtaa wa mathuradas kwa juu Kuna kigorofa Cha vijana wa kitengo pale alikuwa anaonekana Sana mitaa hiyo Sasa kumbeeeee ha ha ha ha kweli katika anasa za show time niite thethe aliepanda treni kwa mbele ndio anajua mjini shule .....
Namimi ni mmoja wao umeridhika?
Kwani we mke wangu?
Labda wakalibishe wakagombee kijijini kwenu.usinijibu hivyo,
Mwana FA mtu wa kitengo anaingiaje kwenye ubunge ?
Wakalibishe wakagombee kijijini kwenu.
Nmekuuliza coz uliniuliza swali la kike?..eti umeridhika?.stupid siridhiki hadi unipe nyuma haya twende kazi..njoo kama unaweza.Kwani we mke wangu?
Mbona mada imebadirika tena ...MwanaFA anasema yeye sio nyuki,popo,kipepeo,swala,mwewe wala nyati.
ni kitengo gani uyo jamaa?usinijibu hivyo,
Mwana FA mtu wa kitengo anaingiaje kwenye ubunge ?
uyo msanii alikuwa anaitwa Nani jina lake?Serious? Ni mmoja Kati ya wasanii walio chini ya eagle house? Hii inanikumbusha yule mwanahiphop wa bongobangra aliyejichinja shingo akafa miaka kumi iliyopita ndio alikuwa msanii mwanamziki wa kwanza kumjua ni tiss recruit hii ya mwanafa ni mpya!!
Bangi za Lema ndio zinafaa?Kama Sanduku la Kura litaheshimiwa , wote hao hawafai tena hawafai kabisa.