Jamaa katoa ushauri mzuri sana ..Ni vyema CDM wajitathimini Hata mimi huwa hainiingii akilini kwanini wanashindwa kujilinda wenyewe wanabaki kulalamika tu.Mungu azidi kutupa busara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndio siasa tunazozitaka kwa maendeleo ya nchi yetu.
Wabunge wa upinzani waige mfano wa Mh.Mbowe na hata Wakurungenzi nao pia watoe ushirikiano wa dhati
Nadhani kwa muda mrefu sasa,Nchi ilishindwa kuwa andaa vijana wawe wazalendo na wachapa kazi ili waje washike nyadhifa mbalimbali za uongozi katika taifa letu.Tunachokiona leo vijana wengi hawana uzalendo kabisa na hii inatokana na either uelewa mdogo ama tamaa.
Imefika wakati nchi iwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.