Search results

  1. TZ kwanza

    Utaratibu na gharama za kupima vinasaba (DNA) Tanzania

    Na hapa ndipo kuna tatizo,wengi wanashindwa kufanya DNA test kutokana na majibu ya namna hii,sasa kwanini nipoteze pesa?
  2. TZ kwanza

    CHADEMA jifanyieni tathmini

    Jamaa katoa ushauri mzuri sana ..Ni vyema CDM wajitathimini Hata mimi huwa hainiingii akilini kwanini wanashindwa kujilinda wenyewe wanabaki kulalamika tu.Mungu azidi kutupa busara Sent using Jamii Forums mobile app
  3. TZ kwanza

    Mkataba wa TTB na ATCL ni ushetani uleule wa TBC dhidi ya media nyingine

    Mbona unalalamika tu husemi ni mkataba gani wamesaini TTB na ATCL?
  4. TZ kwanza

    Mrema atoa siku saba kwa Paul Makonda kujieleza

    Hahahaa, Mwaka huu tutashuhudia mengi
  5. TZ kwanza

    Rais Magufuli: 5,000/= wanazoomba trafiki barabarani hazina shida, ni hela ya kubrashia viatu

    Kwa wanaharakati na wapambanaji wakuipinga rushwa + takrima kwa hili Mh. Katurudisha nyuma
  6. TZ kwanza

    Mbowe amkaribisha rasmi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hai

    Hizi ndio siasa tunazozitaka kwa maendeleo ya nchi yetu. Wabunge wa upinzani waige mfano wa Mh.Mbowe na hata Wakurungenzi nao pia watoe ushirikiano wa dhati
  7. TZ kwanza

    Bora tuendelee kusoma kwa kizungu maana, kanuni ya akimedes hii hapa!

    Hicho kizungu umezaliwa unakijua au ulijifunza??Tujifunze kwa lugha yetu tutaelewa tu mbona wachina wameendelea kwakutumia lugha yao?
  8. TZ kwanza

    Bunge lapitisha sheria ya kuanzishwa mahakama ya ufisadi

    Safi sana,Angalizo kusiwe na kulindana + uonevu. Haki ichukue mkondo wake,kama ulipanda bangi basi uvune bangi... #Mungu ibariki Tanzania#
  9. TZ kwanza

    Kati ya Udaktari na Uinjinia taaluma ipi inalipa zaidi

    Engineer atakayejiajiri ana nafasi kubwa yakutengeneza pesa nyingi kuliko Daktari,pia ikumbukwe Engineer kujiajiri ni rahisi ukilinganisha na daktari
  10. TZ kwanza

    Gazeti la Mwananchi jaribuni kumheshimu Rais, kampeni zimeshaisha

    Kwanini Watanzania hatupendi kusikia ukweli?Unafiki huu utaisha lini kwa manufaa ya nchi hii?
  11. TZ kwanza

    Rais Magufuli: Askari wa Usalama Barabarani aliyetukanwa na Mke wa Waziri apandishwe cheo

    Mimi nataka kumjua huyo mke wa Waziri aliyetukana.Inaonekana huyu mama ni mtata hata kwa mumewe
  12. TZ kwanza

    Namhurumia kijana Mtela Mwampamba!

    Nadhani kwa muda mrefu sasa,Nchi ilishindwa kuwa andaa vijana wawe wazalendo na wachapa kazi ili waje washike nyadhifa mbalimbali za uongozi katika taifa letu.Tunachokiona leo vijana wengi hawana uzalendo kabisa na hii inatokana na either uelewa mdogo ama tamaa. Imefika wakati nchi iwe na...
  13. TZ kwanza

    Mtoto Mtanzania wa miaka 16 alivyoongea kwa kujiamini mbele ya viongozi wa dunia umoja wa mataifa

    Safi sana,ni somo pia kwa wazazi/walezi tuwekeze kwenye Elimu bora kwa watoto wetu
  14. TZ kwanza

    Tume Mipango yamfunda Mbowe

    Demokrasia ni kumsikiliza kila mtu mawazo yake na mwisho wa siku mnapata muafaka.Kila Mtanzania ana haki yakikatiba yakusikilizwa na kuheshimiwa kama mnataka hii nchi iende mbali acheni ushabiki wa vyama vya siasa,tuwe na mitazamo ya maslahi ya kitaifa
  15. TZ kwanza

    Dr. Ramadhan Dau aunguruma darajani Kigamboni

    Sio daraja la Dau??
  16. TZ kwanza

    TAKUKURU imeamka toka usingizi wa pono wa miaka zaidi ya kumi!

    Mzee Hosea mnamuonea,tatizo nadhani boss wake hakutaka watu wasumbuliwe
  17. TZ kwanza

    Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Kiukweli mpaka leo sijamuelewa huyu daktari!!!!Eti nimetokea familia masikini???kweli??This is shame,kajidhalilisha sana,ninapata shida hata alipass vipi mitihani yake??Au alikuwa anakariri?
Back
Top Bottom