Recent content by Triple A

  1. Triple A

    TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Garmaa in hatari sana
  2. Triple A

    Fiat 682 n4 long chasis 22 ft

    Kumbe umeonea huku....
  3. Triple A

    Niuzie Fiat 682

    Mimi nipo arusha wewe uko wapi
  4. Triple A

    Niuzie Fiat 682

    Wapi huko mkuu
  5. Triple A

    Fiat 682 N3 inahitajika

    Nahitaji Fiat tajwa hapo juu,mwenye nalo au kufaham mahali inapatikana tuwasiliane please
  6. Triple A

    Tunaomba serikali itusaidie wachimbaji wadogo

    mkuu wa wilaya tunaomba utusaidie sisi wachimbaji wenye leseni tuweze kuchimba madini na serikali iweze kupata mrahaba
  7. Triple A

    Tunaomba serikali itusaidie wachimbaji wadogo

    jamani tusaidieni sisi wachimbaji wadogo wa madini ujenzi hapa babati
  8. Triple A

    Tunaomba serikali itusaidie wachimbaji wadogo

    Duhh maskini sisi wanyonge pesa zetu zinateketea hivihivi huku tukiona bila kupata msaada wowote
  9. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Yaani labda Mh Rais asifanye ziara mkoani manyara hususan babati,hilo bango nitakalobeba lazima mh Rais ataniona tu,nitahakikisha kufanya kila litakalowezekana mkuu wa nchi hii anione, Siku hiyo ndio siku yakumwaga ugali potelea mbali......
  10. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Mbona kama mmekuwa vipofu hamuoni uzi huu
  11. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Hivi inamaana hapa jf hakuna wafanyakazi wa serikali humu?
  12. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Migodi ilifungwa kwa barua maalum ambayo ilikataza kazi ya uchimbaji madini katika migodi husika mpaka muafaka utakapo patikana,lakini cha kushangaza hawa jamaa wamedharau agizo hilo huku serikali ya wilaya ya babati ikibariki haya kwani mkuu wa wilaya alipewa nakala ya barua yakusimamisha kazi...
Back
Top Bottom