Search results

  1. Triple A

    TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Garmaa in hatari sana
  2. Triple A

    Fiat 682 n4 long chasis 22 ft

    Kumbe umeonea huku....
  3. Triple A

    Niuzie Fiat 682

    Mimi nipo arusha wewe uko wapi
  4. Triple A

    Niuzie Fiat 682

    Wapi huko mkuu
  5. Triple A

    Fiat 682 N3 inahitajika

    Nahitaji Fiat tajwa hapo juu,mwenye nalo au kufaham mahali inapatikana tuwasiliane please
  6. Triple A

    Tunaomba serikali itusaidie wachimbaji wadogo

    mkuu wa wilaya tunaomba utusaidie sisi wachimbaji wenye leseni tuweze kuchimba madini na serikali iweze kupata mrahaba
  7. Triple A

    Tunaomba serikali itusaidie wachimbaji wadogo

    jamani tusaidieni sisi wachimbaji wadogo wa madini ujenzi hapa babati
  8. Triple A

    Tunaomba serikali itusaidie wachimbaji wadogo

    Duhh maskini sisi wanyonge pesa zetu zinateketea hivihivi huku tukiona bila kupata msaada wowote
  9. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Yaani labda Mh Rais asifanye ziara mkoani manyara hususan babati,hilo bango nitakalobeba lazima mh Rais ataniona tu,nitahakikisha kufanya kila litakalowezekana mkuu wa nchi hii anione, Siku hiyo ndio siku yakumwaga ugali potelea mbali......
  10. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Mbona kama mmekuwa vipofu hamuoni uzi huu
  11. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Hivi inamaana hapa jf hakuna wafanyakazi wa serikali humu?
  12. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Migodi ilifungwa kwa barua maalum ambayo ilikataza kazi ya uchimbaji madini katika migodi husika mpaka muafaka utakapo patikana,lakini cha kushangaza hawa jamaa wamedharau agizo hilo huku serikali ya wilaya ya babati ikibariki haya kwani mkuu wa wilaya alipewa nakala ya barua yakusimamisha kazi...
  13. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Tulipeleka malalamiko yetu kwa kamishna wa madini kanda ya kaskazini,maamuzi aliyochukua kamishna ni kufunga migodi yote ya mchanga mpaka tutakapoelewana na hawa wenye magari ya kubeba mchanga,lakini cha kushangaza baada ya kamishna kuondoka waliendelea kuchimba mchanga kwa maana ya kwamba...
  14. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Mkuu ni wapi huko wanafuata sheria? Mimi hapa nilipo ninayokitabu cha wizara ya madini lakini hawakitambui na wanadai mchanga hauuzwi ni mali ya mungu
  15. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Asante sana mkuu,wana jf wengi wao wanapenda mambo ya umbea ,sasa hili suala langu linaonekana liko serious kidogo kwahiyo wanashindwa wachangie nini
  16. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Hapa babati serikali inapoteza mapato mengi sana kwenye sekta ya madini hususan mrahaba wa madini ya ujenzi ikiwemo mchanga,kokoto,mawe,matofali nk..... Wafanya biashara wamekuwa wakijibebea bure kabisa bila kulipia chochote zaidi ya ushuru wa halmashauri ya wilaya huku sisi wenye leseni halali...
  17. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Mkuu wangu wa wilaya wewe umeteuliwa na Mh Rais ili uje hapa babati utatue kero zetu sisi wananchi
Back
Top Bottom