Kinachofanyika ni kwamba hiyo tozo si ya TRA Bali in huduma ya ukaguzi wa gari kuhusu usalama dhidi ya ajali za moto ambayo huko nyuma ilikuwa inalipwa kikosi cha zima moto. Serikali iliamua TRA wakusanye ada hiyo pamoja na road licence kwa niaba ya idara ya zima moto.
Ukiishalipa unatakiwa...
Nashangaa kwamba watu wakimwagiwa tindikali vyombo vya dola vinakimbilia namna ya kudhibiti acid badala ya kuhakikisha wauaji hao wanakamatwa. Hivi, yakitokea mauaji mfululizo ya watu kukatwa mapanga, serikali itazuia uuzwaji wa mapanga... ikitegemea kukomesha mauaji ... au inapaswa kuchukua...
hii kali inaonekana aliyeanzisha uzi alikuwa ana timu iko tayari kuchangia kwa namna anavyotaka maana michango imeporomoka kila dakika mara baada ya uzi kuanzishwa!
nashawishika kuamini kuwa muanzisha uzi na wenzake wameshtushwa na ushirikiano walionesha Chadema CUF na NCCR kwa jambo ambalo ni...
ni kweli kwali walikwenda! walikuwa waende wakapima upepo wakaamua kutokwenda, kwa maneno mengine hali ya mambo ilivyokuwa iliwazua kwenda geita.... sema mhariri naye muoga ameishakanusha... wangekuwa mwanahalisi wangekomaa nao ili waeleze kwa nini hawakwenda wakati viongozi wao walikuwa huko!
kwani wakristo wamemuua nani! au wamechoma msikiti wa nani... mbona tunataka kuonesha kana kwamba yanayofanywa na waislamu yanafanywa pia na wakristo? kama ni kamati kuundwa iende kwenye miskiti kubaini wanachofanya, wanachopanga na anayewafhadhili.. tuache kukwepesha ukweli jamani ndiyo maana...
nirejee kwenye ushauri wangu wa siku zote. kwamba musilam au mzanzibar akikosa isemwe hivyo na wakristo au wabara wakikosa itamkwe bayana siyo kutaka ku-balance kwamba ni machafuko ya dini, kana kwamba wakristo nawaislamu,au wabara na wazanzibari wanapambana wakati ni upande mmoja...
Walianza kumzuia mgombea wao wa Urais kushiriki mdahalo, kwa kuwa ungekuwa live na pengine, walijua kwamba usingekuwa na manufaa kwao kwani hoja ambazo zingeelekezwa kwake (Mgombea wa CCM) zingekuwa ngumu kujibiwa kwa hoja na hivyo kudhalilika, wakaamua bora asishiriki
Hali kadhalika, hata pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.