Search results

  1. theophilius

    Sehemu ya Hotuba Yangu ya Jana..."Fikiri Tofauti, Amua Mabadiliko Sasa"

    Ongera ila kazi IPO maana watanzania was Leo wanasikiliza,kupembua... Na kuchukua hatua.
  2. theophilius

    TRA na malipo ya Fire extinguisher.

    Kinachofanyika ni kwamba hiyo tozo si ya TRA Bali in huduma ya ukaguzi wa gari kuhusu usalama dhidi ya ajali za moto ambayo huko nyuma ilikuwa inalipwa kikosi cha zima moto. Serikali iliamua TRA wakusanye ada hiyo pamoja na road licence kwa niaba ya idara ya zima moto. Ukiishalipa unatakiwa...
  3. theophilius

    Kauli ya Jussa na umoja wa vijana wa kitaifa Zanzibar kuhusu padre Mwang'amba kumwagiwa tindikali

    Nashangaa kwamba watu wakimwagiwa tindikali vyombo vya dola vinakimbilia namna ya kudhibiti acid badala ya kuhakikisha wauaji hao wanakamatwa. Hivi, yakitokea mauaji mfululizo ya watu kukatwa mapanga, serikali itazuia uuzwaji wa mapanga... ikitegemea kukomesha mauaji ... au inapaswa kuchukua...
  4. theophilius

    Maalim Seif Hamad apinga CUF kuungana na CHADEMA

    hii kali inaonekana aliyeanzisha uzi alikuwa ana timu iko tayari kuchangia kwa namna anavyotaka maana michango imeporomoka kila dakika mara baada ya uzi kuanzishwa! nashawishika kuamini kuwa muanzisha uzi na wenzake wameshtushwa na ushirikiano walionesha Chadema CUF na NCCR kwa jambo ambalo ni...
  5. theophilius

    RAV4 inauzwa Mwanza

    kwa wadau wa Mwanza kuna gari RAV 4 nzuri inauzwa ina usajiri mpya CEM bei ni sh 13.5m wasiliana na 0766070360
  6. theophilius

    Vita ya Kagasheki na Amani, Nape atua Bukoba

    muihyemu obufeela.... ka mwatwiita!
  7. theophilius

    Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

    muonekano wa nini, kwani anachumbiwa, hiyo ndiyo sura ya kiume siyo ya 'kike-kike'
  8. theophilius

    Mhariri wa Tanzania Daima Kuburuzwa Mahakamani

    ni kweli kwali walikwenda! walikuwa waende wakapima upepo wakaamua kutokwenda, kwa maneno mengine hali ya mambo ilivyokuwa iliwazua kwenda geita.... sema mhariri naye muoga ameishakanusha... wangekuwa mwanahalisi wangekomaa nao ili waeleze kwa nini hawakwenda wakati viongozi wao walikuwa huko!
  9. theophilius

    Iundwe kamati maalumu ya bunge - yanayoendelea misikitini na makanisani

    kwani wakristo wamemuua nani! au wamechoma msikiti wa nani... mbona tunataka kuonesha kana kwamba yanayofanywa na waislamu yanafanywa pia na wakristo? kama ni kamati kuundwa iende kwenye miskiti kubaini wanachofanya, wanachopanga na anayewafhadhili.. tuache kukwepesha ukweli jamani ndiyo maana...
  10. theophilius

    Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    una uhakika na unayosema au ni ujinga mnaojazwa na wajinga wenzenu misikitini!
  11. theophilius

    Dr. Nchimbi: Kuuwawa kwa Padri huko Zanzibar si Ujambazi bali ni Ugaidi!

    nirejee kwenye ushauri wangu wa siku zote. kwamba musilam au mzanzibar akikosa isemwe hivyo na wakristo au wabara wakikosa itamkwe bayana siyo kutaka ku-balance kwamba ni machafuko ya dini, kana kwamba wakristo nawaislamu,au wabara na wazanzibari wanapambana wakati ni upande mmoja...
  12. theophilius

    CCM na Serikali yake kama wachawi, wanatamani kufanya mambo yao kwenye giza!

    Walianza kumzuia mgombea wao wa Urais kushiriki mdahalo, kwa kuwa ungekuwa live na pengine, walijua kwamba usingekuwa na manufaa kwao kwani hoja ambazo zingeelekezwa kwake (Mgombea wa CCM) zingekuwa ngumu kujibiwa kwa hoja na hivyo kudhalilika, wakaamua bora asishiriki Hali kadhalika, hata pale...
  13. theophilius

    Heko Agrey D. Mwanry

    ni miongoni mwa viongozi wa CCM anayeniburudisha.. nampenda kwa hilo, wengine hata uongo wao unakarahisha
  14. theophilius

    Migogoro ya kidini na siasa haiwezi kuisha kwa unafiki wa kuficha ukweli.i

    wanadhani kwa kufanya hivo suruhu itapatikana
  15. theophilius

    Hizi ndio namba za Anna Makinda na Ndugai!

    bunge lijalo itatungwa sheria ya kuzuia kugawa namba za simu za spika... usiwe na wasi wasi
  16. theophilius

    CHADEMA to pay heavy fine or be out of politics for a time or both!

    mi sikupata hiyo namba, ningepata nisingemtukana, ningempa ukweli ambao kwa kuwa si mzuri kwake angesema ni matusi... kama ilivyopendekeza lowasa kwamba katika itoe tafsiri ya Rushwa, ni bora katiba hiyo ikatafsiri pia na matusi maana isije ikawa ukweli usioutaka unakuwa matusi
  17. theophilius

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    wastakaoumia zaidi ni CCM maana ndiyo walikuwa anajaribu angalau nao kujionesha kwamba wanawajali wananchi, likiondolewa live si ndiyo watapiga usingizi wa pono na hata wengine kwenda kwenye biashara zao harari na haramu kama kuua tembo... si hakuna atakayeona bunge live!
  18. theophilius

    Maandamano ya waisilimu yakosa baraka za polisi

    maandamano ni haki ya raia, waachwe waandamane, sula la sababu za polisi kwamba hayana tija.. nani kawambia kwamba ni kwa tija ya polisi. yawe ya tija au vinginevyo na kwa walioyaandaa na watakaoandamana. cha msingi waletwe polisi wa kutosha na hata wanajeshi kuhakikisha hakuna muandamanaji...
Back
Top Bottom