A simple advice mkuu...usilime kama fashion. Ukitaka kilimo chenye tija cum kilimo biashara anza kwanza na utafiti wa masoko ujue....Demand ipoje na in terms of quality and quantity then mengine yatakuwa rahisi.
Maana utajua exactly nini kinatakiwa sokoni (km vile aina ya mbegu maana kuna aina...
Una nyota ya wake za watu mkuu. Maana kabla hujaondoka bongo ilikula mke wa balozi. Ila next time punguza details kwenye post zako unawa expose sana wahusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa senior Lecturer unapaswa kutoa machapisho ambayo yanakupa point. Kwa mujibu wa scheme mpya ya pamoja ili kutoka senior lecturer kuwa associate professor unahitaji point 8.
Kila chapisho ambalo umefanya mwenyewe na likatoka katika peer reviewed journal na reviewers wakakupa B au A basi...
Sio lazima professors wote wapite huo mkondo...ndo maana nimesema mara nyingi. Wengine wanaanza moja kwa moja kama lecturer then wanapanda inategemea na level yake ya elimu anayoingia nayo katika ajira
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.