Recent content by The Inquisitive

  1. The Inquisitive

    Tanzania Heart Institute imeishia wapi?

    Dr. Ferdinand MASAU
  2. The Inquisitive

    Selection zitatoka lini? tumeshachoka kukaa kitaani

    Kweli kabisa "umekaa kitaani"? Kipindi hiki ungetumia kufanya courses kujiongezea knowledge in languages, advanced computer skills etc. Wewe umekaa tu???
  3. The Inquisitive

    Msikilizine Risasi Maulanga anaongea live Star TV

    Jamani mbona mnasumbuka? Huyu kijana amekua akiona baba yake akiishi maisha hayo (kudandia gravy train), mnatarajia yeye afanyeje jamani? Mnamlaumu bure... Kuna watu ambao hata wakizungumza ***** unaweza kushangaa lakini sio aina za kina Risasi
  4. The Inquisitive

    Fungua hapa: ATAKAYEJIBU HILI SWALI ZAWADI YAKE VOCHA SH. 2000

    Mtoa swali, wafuatiliaji wameshachoka umegundua? The excitement has run its course. Toa jibu, nao watarudi kuchambua credibility ya hilo jibu...
  5. The Inquisitive

    Miaka >30 ijayo: ni vitu gani utasimulia kwa wanaozaliwa sasa kuhusu "Enzi Hizo"?

    Itabidi utaje na kipato kilivyo maana wakati huo pengine kilo itakuwa sh. 30,000 hivyo wasielewe jinsi ulivyokuwa unapigika 'enzi hizo'
  6. The Inquisitive

    Miaka >30 ijayo: ni vitu gani utasimulia kwa wanaozaliwa sasa kuhusu "Enzi Hizo"?

    Kuna thread hapa inataka utaje vitu vya enzi za zamani ambavyo unadhani vijana hawakuviona ila wamesikia tu. Yametajwa mambo mengi ya mavazi, usafiri, mambo ya kijamii n.k. Basically reminiscing about the past. Naona wengi wana kumbukumbu za kufurahisha kuhusu enzi hizo. Nikiwa nasoma hizo...
  7. The Inquisitive

    Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    Wapaka rangi kucha wanaopita mitaani
  8. The Inquisitive

    Natafuta SAMSUNG GALAXY Y DUOS

    Vodashop Mlimani City ilikuwepo about 3 weeks ago. Bei ilikuwa around 470,000 Tshs.
  9. The Inquisitive

    binti yangu anakula sabuni na mafuta ya kujipaka

    Kuna ugonjwa unaitwa PICA, basically ni hali ya kula vitu ambavyo kwa kawaida si chakula cha binadamu. Una sababu nyingi ikiwemo stress na nutritional deficiencies. Chunguza vizuri mazingira yanayomzunguka mtoto shuleni, nyumbani etc. Pia mpeleke kwa daktari wa watoto akushauri. Pole dada.
  10. The Inquisitive

    Unawakumbuka ma-headmaster maarufu in 80s to 90s?

    Sr. Fidesta CPS - Kifungilo Girls' Primary and Secondary School
  11. The Inquisitive

    Kubwa Kuliko...!

    Henry - Henule
  12. The Inquisitive

    Kubwa Kuliko...!

    Sidiria - sindilia Suruali - salawili Sindano - shindano
Back
Top Bottom