Recent content by Talkandtalk

  1. T

    Fake election

    Kwahiyo upinzani ukishinda ndio uchaguzi unakuwa halali na sivinginevyo?
  2. T

    Ikulu: Rais Magufuli apokea ujumbe kutoka kwa Kagame. Akubali kupeleka Rwanda walimu wa Kiswahili

    Watalipwa na serikali ya Rwanda kama experts, watalipwa in foreign currency hii ninzuri kwa kuongeza thamani ya shillingi. Mshahara wao utakuwa mkubwa zaidi ya ule wanaolipwa Tanzania. labda watu wangeongelea jinsi ya ku implement zaidi ya kupinga tu.
  3. T

    Ikulu: Rais Magufuli apokea ujumbe kutoka kwa Kagame. Akubali kupeleka Rwanda walimu wa Kiswahili

    Sijui ni thinking capacity ndogo au elimu ndogo.. Baadhi ya comments hapa zinaonyesha sababu gani wengi hupenda kulalamika mitandaoni bila ya kutoa au kuonyesha solution ya kipi kingefanyika. 1:Kwa nini inakuwa issue kwa Raisi kupokea delegation kutoka nchi jirani? Rwanda iliajiri zaidi ya...
  4. T

    Swali la Udadisi: Kisiwa cha Iwawa Rwanda

    Hii ni rehabilitation and training center kwa mateja wa madawa ya kulevya, vibaka wadogowadogo na wale wanaoonekana kuwa tatizo kwa jamii ki tabia. Wanapelekwa kwenye kisiwa hiki nakupewa mafunzo ya kujitegemea: Huko kuna chuo kidogo cha ufundi, ujenzi nk. Wahitimu wakimaliza hurudishwa katika...
  5. T

    US unyielding in opposing third term for Kagame

    Kwahiyo nawewe umekubali kuwa personal property? kwani umeamua kuhamia kabisa
  6. T

    Kuhusu Rwanda na Tanzania: Tuweke rekodi sawa

    Rwanda and DRC agree to AU military force JWTZ LATOA ONYO KALI KWA VYOMBO VYA HABARI VINAVYOANDIKA HABARI ZA UONGO KUHUSU MZOZO WA DRC..!! | Habari kamili Awe Kikwete,Kagame au Magufuli sisi tunachotaka ni uhusiano mzuri.
  7. T

    Kuhusu Rwanda na Tanzania: Tuweke rekodi sawa

    Mhh!imekuchukua mda kweli,japo umerudia yaleyale kama kawaida hakuna jipya. Cha msingi nikwamba Rwanda na Tanzania ninchi marafiki tofauti na mapenzi yenu. Interahamwe zilichochea kwa sana ugomvi baina ya inchi hizi mbili, nimefuatilia sana kila supporter wako anajua lugha ya Kinyarwanda. We...
  8. T

    How President Kagame Sacrificed women during the 1990-1994 war

    A genocidaire is not how you look,it is what is with in you..Yes you can tell a genocidaire online. Genocidal is an ideology.. jMali ulikuwa umetulia sasa tunaingia mwezi wakukumbuka Genocide naona umerudi tena,any way we are used to that.Nimeona hata story za 2013 zimeanza kuwa reposted...
  9. T

    Burundi rejects African Union peacekeepers as 'invasion force'

    Ndugu hata usisumbuke hao ni Wa rundi, nia yao nikuiingiza Rwanda kwenye mgogoro wao, mimi nawashangaa yaani our Pesident alisubiri Nkurunziza amalizie mda wake ndio akapanga kuanzisha vurugu Burundi? mbona kabla ya maandamano ya kukataa third term uhusiano ulikuwa mzuri tu. Haya nisawa na...
  10. T

    Burundi rejects African Union peacekeepers as 'invasion force'

    Vipi unaongeleaje wale wanaoshupalia mambo ya Rwanda ilhali hawataki kukubali kuwa ni wanyaRwanda, atleast yeye hajaficha uraia wake::: Unamuongeleaje jMali?
  11. T

    Kuna haja ya uchaguzi Rwanda 2017?

    1:Maendeleo unayo yasikia Rwanda yasingewezekana kama uhusiano wa kijamii ungekuwa mbaya,wananchi wa Rwanda hawana shida na wanaelewana, ndio maana husikii vurugu kama nchi nyingine: Najuwa kwa hili utasema wanaogopa serikali, lakini kumbuka hata Burundi wanatumia jeshi, ingekuwa uoga hata...
  12. T

    Rwandan bid for Kagame third term undermines democracy: EU

    What is the cleanest city in Africa?
  13. T

    Rwandan bid for Kagame third term undermines democracy: EU

    Sawa bruh! nadhani nazenyewe ni propaganda za UN Habitat ndio maana hutaki kusikia
Back
Top Bottom