Recent content by Ta Nanka

  1. T

    Huyu Mwanajeshi aliekuwa akihutubia leo si ndio yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Ikulu wanaingia watu wangapi? Kila anayeingia ni mwanausalama?
  2. T

    Wanachuo wote waliowahi kusoma na wanaosoma UDSM tuandamane kwa kudhalilishwa kwa Dr. Shukuru Kawambwa

    Nilishangazwa sana na ujasiri ('wehu') wa diwani mstaafu kumkabili na kumzongazonga Waziri mstaafu kwa namna ile!
  3. T

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Unaweza kushare jinsi ya kuwapata?
  4. T

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Sidhani kama zipo tena madukani, Kodtec ni kama wameacha kutengeneza (kuleta?) subwoofers
  5. T

    Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

    Uwezekano mkubwa ni maambukizi ya mange mites. Yanatibika. Suluhisho ni kutafuta mtaalamu wa tiba ya amshughulikie.
  6. T

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Umewahi kukutana na hiki kinu?
  7. T

    Gerald Hando: Makonda akikutwa na hatia atafukuzwa Kazi ya Ukuu wa Mkoa

    Hivi hii "bomaye" inamaanisha nini?
  8. T

    Kama uko Dodoma na huna ajira njoo nikufundishe udalali

    Si unatafuta 'wanafunzi'?
  9. T

    Kama uko Dodoma na huna ajira njoo nikufundishe udalali

    Mkuu, nikikuletea hao vijana utaniachaje achaje?
  10. T

    Mgao wa Umeme VS Upungufu wa Umeme.

    Halafu unakuta wanatoa eti "ratiba ya upungufu wa umeme". Yaani hii nchi ina vituko!!
  11. T

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Kuongoza waTanzania ni rahisi sana!
Back
Top Bottom