Search results

  1. T

    Gerald Hando: Makonda akikutwa na hatia atafukuzwa Kazi ya Ukuu wa Mkoa

    Hivi hii "bomaye" inamaanisha nini?
  2. T

    Kama uko Dodoma na huna ajira njoo nikufundishe udalali

    Si unatafuta 'wanafunzi'?
  3. T

    Kama uko Dodoma na huna ajira njoo nikufundishe udalali

    Mkuu, nikikuletea hao vijana utaniachaje achaje?
  4. T

    Mgao wa Umeme VS Upungufu wa Umeme.

    Halafu unakuta wanatoa eti "ratiba ya upungufu wa umeme". Yaani hii nchi ina vituko!!
  5. T

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Kuongoza waTanzania ni rahisi sana!
  6. T

    Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Sasa ndio wadanganye kwamba hawana magari?! Hii nayo ni kufuru ya aina yake, yaani kwake (na wenzake) 'mkonga' sio gari. Yaani kuwa na 'mkonga' ni sawa na kutokuwa na gari!! Hovyo kabisa!!
  7. T

    Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Umejuaje aisee? :D. Yaani wanaposema DCs hawana magari sijui kama watu wanaelewa.
  8. T

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Je, hata hizo zilizopo zinafanyika kwa ufanisi wa kiwango gani?
  9. T

    Mkosoaji wa Serikali ‘aliyetekwa’ siku 5 zilizopita Mbeya apatikana Igunga

    Kutekana tekana ni mambo ya kishamba sana.. Mtu kama kuna sheria kavunja si akamatwe afunguliwe mashtaka.
  10. T

    Watumishi wa umma wapewe elimu ya kikokotoo wamechanganyikiwa

    Hapa ndio hoja ilipo.. Serikali: Nakupa kidogo sasa, kingi nakutunzia nitakuwa nakupa kidogo kidogo Watumishi/wastaafu: Nipe kingi sasa nifanye mambo yangu, kinachobaki endelea kunitunzia na kunipa kidogo kidogo.
  11. T

    Mnaojidai kumpinga Makonda siku akiwa Waziri Mkuu atawanyosha na mtanyoka anzeni kufanya mazoezi ya kuwajibika

    Mkuu P, Sitaki kuamini uongozi wa juu wa nchi yetu unaweza kuwa umeshuka thamani kiasi hicho, kwamba unahitajika uthubutu tu. Hata mwizi anapofanya uamuzi wa kwenda kuiba sehemu anajivika uthubutu na ujasiri. Pamoja na uthubutu tunahitaji viongozi wenye 'akili', na waadilifu. Swali ni kwamba...
  12. T

    Mungu ana makusudi na Makonda na kuna mahali anataka kumfikisha

    kuchangamka kupi? Kwa matamko na drama za kila leo zisizo na kichwa wala miguu?
  13. T

    Mungu ana makusudi na Makonda na kuna mahali anataka kumfikisha

    Hebu acha kumshughulisha Mungu na vitu vya ajabu ajabu. Vinginevyo labda utuambie SSH ndo mungu wako unayemzungumzia hapa.
  14. T

    Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

    Ila akili za wabongo!! Eti Yanga hakupambana..kwahiyo kwako wewe kupambana ni kupi sasa? Vijana walijitoa 110%. Kila mwenye akili ameona.
  15. T

    Lipa namba ya VODACOM 5757565 rudisha pesa yangu

    Huo ubini mbona kama wa yule waziri wa naniliu?
  16. T

    Akutwa akimbaka mtoto (binamu yake) baada ya kumrubuni kumpa Shilingi 1500

    Pepo la ubakaji lilikuwa likimuandama. Hatimae limempata!
  17. T

    Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Yaani mkikubaliana gharama ya kazi, anapewa advance
Back
Top Bottom