Hata Mbowe karrudishiwa kila kitu. Hawezi sema. Bt fuatilia... mbona mwenyewe ni ccm dam dam! Sijui hata kama Lisu analijua hilo. Mtapinga kwa matusi na kejeli, bt hajali ya Lisu Mbowe aliijua na kuwa miongoni ya kuipanga. Sugu kwenda gerezani alishiriki kupanga pia. Huyo Lema mnaemuita kamanda...
Acheni kulialia nyie watumwa wa mbowe, kwani walifuata taratibu na wakakosa stahiki zao?... jimwenyekiti lenu lenyewe halina hata haya, kila msiba siasa hata bila kujali uchungu wa hao wafiwa, likitoka kwenye msiba linampigia wema ili akalipe point!... same story na Tobo lisa, ngaji sana nyie...
.. Na cha ajabu zaidi wote wanatoka kule kwetu! Sijui huku kwetu tuna tamaa ya aina gani?.. haturidhiki? Mbona wastaafu wengine wamepumzika na kutoa ushauri tu. Hii mizee inatuaribia sana vijana wa kaskazini. Hakuna Rais makini atakaetuamini kirahisi. Mizee ya ajabu sana hii.. mbona Msuya...
Tena wanakera sana. Wameanzisha uongo walivyoona haulipi sasa wanajizushia eti wanatafutwa, hawa watoto wanajitekenya sana. Halafu hicho ki-nasiri kilinikera sana kilipokuwa kila point kinaingiza ukabila eti wameru walipigania uhuru! Vitoto vilimbukeni utavijua tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.