Search results

  1. T-King

    Venezuela Pres. Nicolas Maduro Anusurika Kuuawa

    Tena wamechelewa sana. Na walikuwa wanamfunika kiogaoga, pale wangerusha tu kajimoto kengine walikuwa wanamuacha ajiokoe mwenyewe
  2. T-King

    Venezuela Pres. Nicolas Maduro Anusurika Kuuawa

    Si umeona hata makamanda walosimama nae wamekwepa na kumuacha pamoja na kuchafuka kote mabegani:-) mbele ya kifo hakuna ndio mkuu, kila mtu kivyake
  3. T-King

    Chadema mtajuta kuwafahamu akina Sumaye

    Ukitongozwa kuna mawili, kukataa au kukubali. Umetongozwa mke wa mtu ukakubali, kuna ugoni hapo? Jipangeni.
  4. T-King

    Chadema mtajuta kuwafahamu akina Sumaye

    Hata Mbowe karrudishiwa kila kitu. Hawezi sema. Bt fuatilia... mbona mwenyewe ni ccm dam dam! Sijui hata kama Lisu analijua hilo. Mtapinga kwa matusi na kejeli, bt hajali ya Lisu Mbowe aliijua na kuwa miongoni ya kuipanga. Sugu kwenda gerezani alishiriki kupanga pia. Huyo Lema mnaemuita kamanda...
  5. T-King

    Jina la "Magufuli" liandikwe katika moja ya ndege kubwa

    Tutakubaliana tu mkuu. Mbona Magu anakula fupa lililowashinda wengi? Mpeni mda, mtaona anachokimaanisha.
  6. T-King

    Spika Ndugai yupo juu ya ukuu wa Mungu?

    Acheni kulialia nyie watumwa wa mbowe, kwani walifuata taratibu na wakakosa stahiki zao?... jimwenyekiti lenu lenyewe halina hata haya, kila msiba siasa hata bila kujali uchungu wa hao wafiwa, likitoka kwenye msiba linampigia wema ili akalipe point!... same story na Tobo lisa, ngaji sana nyie...
  7. T-King

    Sijaona popote pale wanajeshi wa Rwanda wakilinda Ikulu ya Tanzania wala Ukuta wa Mererani

    Na fuatilia historia ya aliepandishwa cheo TRA na mkuu kwenye sakata la mafuta!
  8. T-King

    Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa Serikali ya Magufuli

    Pumbavu zenu na Mbowe wenu. Ole wenu
  9. T-King

    Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    We nae.. Njaa tu. Tupishe
  10. T-King

    Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    .. Na cha ajabu zaidi wote wanatoka kule kwetu! Sijui huku kwetu tuna tamaa ya aina gani?.. haturidhiki? Mbona wastaafu wengine wamepumzika na kutoa ushauri tu. Hii mizee inatuaribia sana vijana wa kaskazini. Hakuna Rais makini atakaetuamini kirahisi. Mizee ya ajabu sana hii.. mbona Msuya...
  11. T-King

    Hahahahaa et kafanana n tl hapana

    Lisu kopi kopi
  12. T-King

    Joshua Nassari: Maisha yangu yapo kwenye bonde la uvuli wa mauti - Maisha yangu yapo HATARINI Watesi wetu wananitafuta

    Tena wanakera sana. Wameanzisha uongo walivyoona haulipi sasa wanajizushia eti wanatafutwa, hawa watoto wanajitekenya sana. Halafu hicho ki-nasiri kilinikera sana kilipokuwa kila point kinaingiza ukabila eti wameru walipigania uhuru! Vitoto vilimbukeni utavijua tu
  13. T-King

    Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

    Black Pope ndo anakuwaje mkuu, ni mweusi au ni kama Tittle tu?dadavua kidogo tafadhali
  14. T-King

    Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136!

    Wewe 'Njaa'' acha unafiki kwa post zako chonganishi. Tatizo unakula kote kote. Acha hii mambo kijana. Just ushauri
  15. T-King

    Magari ya polisi aliyokarabati Makonda yanazidi kumpa kiki

    Anajitahidi sana kijana. Hasa ubunifu na maono ya kesho
  16. T-King

    Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Halafu kila siku wanajazana tu hospitali na kutoa matamko wakati hawana msaada wowote. Binadamu sisi ni Wanafiki sana.
  17. T-King

    ARUSHA: Kijana aliyeandika kwenye ukurusa wake wa Facebook kuwa Tundu Lissu angeuawa akamatwa na Polisi

    Duh, hapa Angekamatwa Mange kimambi sijui tungewapongeza pia polisi!
Back
Top Bottom