Recent content by slayvai

1. S

Special Romantic Moments......

uuuuuwiiiiii mapenzi kweli fimbo ya dunia,....nitafute mimi au mwenza wangu vaislay tukupe somo
2. S

Special Romantic Moments......

USIKATE TAMAA AS LONG BADO UNAISH
3. S

Unene baada ya kujifungua

tumezoea kuona wanawake wengi baada ya kujifungua wanakuwa km wamefunguliwa kunenepa/kufutuka,ambapo kwa watu km sie wanawake wanene hatuwapendi na pia kama nimeshasababisha siwezi kumwacha kwajili hiyo japo nitaboreka.hivi wadada hamuwezi kumentain miili yenu mbali na kufanya mazoez?
4. S

Mahusiano yepi mazuri?

kuwasiliana kwny simu au online tu bila kuonana?yale ya kusimama gizan yani meeting yenu usiku tu mchana uko busy.au kuweka bayana wa2 wote wawaone na kutambua km ya wema na daimond,au yale tangulia kansubr pale chini ya mti m nakuja...
5. S

Eti Kiswahili sio lugha ya kimahaba!

naunga miguu na mikono.luga ye2 kwny umbea inanoga kchz
6. S

zama chumvini

jaman,naomba kuuliza.kuzama chumvini au kula koni bado inakuwa c nzur hata km mmepima ol magonjwa na kukta mko fresh?
7. S

Ni nani anatakiwa kumpigia simu/sms mwenzake?

kikubwa angalia,hajapga just kol.haina maana ya kushndana hayo sio mapenz
8. S

Nimemkuta yu mjamzito!

eeh,mbona kawaida 2.n mistake za kbinadam.nasamehe 2naendeleza maisha
9. S

Dah ndoa ngumu

aah ndugu labda umeshndwa kuijenga yako
10. S

Ugumu wa maisha

hana chai huyo.ndo mana kasema ivo
Back
Top Bottom