Recent content by Sista Horn Kombe Masufuri

  1. S

    Wito wa kura ya maamuzi kuhusu marekebisho kwenye katiba: vita vipya vya team Ruto vs Team Raila

    Inafaa. Kwanza sielewi kazi ya maseneta ni gani .kazi yao ni kujadili kuhusu mavazi ya wanawake bungeni. Counties zipunguzwe. Governors Senators Women rep Mpigs MCA's Senators na mps or senators and women rep. Who do we remove?
  2. S

    Kenya ndio tegemezi mpya la soko la Tanzania, hivyo chokochoko ziishe

    Tufe njaa kwani nyie ndio husosiwa Kenya? Use your brain that is: If you have one
  3. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Please do. Am interested in seeing them
  4. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Informal Unplanned settlements. Why do they hide these pics?
  5. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Which is a slum.Dar is slum
  6. S

    Kenya ndio tegemezi mpya la soko la Tanzania, hivyo chokochoko ziishe

    Njooni wabongo mjitetee kwa kuiponda Kenya kama kawa
  7. S

    Kenyans Starting To celebrate Their Music

    Sibishi. Nakwambia mimi nilimjua angel through Mercy. Sikumfahamu hapo mbeleni
  8. S

    Kenyans Starting To celebrate Their Music

    Rose muhando alisahaulika. Hata nyie ndio mnanijulisha kwamba yuko Kenya. Mie sijui
  9. S

    Kenyans Starting To celebrate Their Music

    Wengi sana .wanapata sapoti kutoka kwa wakenya. But their music is not prioritized like you all are trying to put it here. It's not like secular bongo flavours zinathaminiwa sana. We embrace all gospel from
  10. S

    Kenyans Starting To celebrate Their Music

    Sio eti wanakwama. It is lack of support from Kenyans. Mimi ni teamgospel. Secular najua mpo mbele.bongo flavas zinapendwa sana Kenya. But believe me when it comes to gospel hatupendelei upande mmoja kama wenzako wanavyosema. Wnadhania gospel tunaskiza za tz pekee. We love gospel songs kutoka...
  11. S

    Kenyans Starting To celebrate Their Music

    Acha kubisha. Enda YouTube search engine type mwema by mercy masika. Nataka ulete wewe mwenyewe sababu nikileta mtabisha bado.
  12. S

    Kenyans Starting To celebrate Their Music

    Hamna yeyote. In gospel we support our own.tz hawajui wasanii wa Kenya
  13. S

    Kenyans Starting To celebrate Their Music

    Nani hajui kwamba mlimroga mwenzio. Ushirikina ndio mnajua sana. Hilo hatuwezi washinda. Hata sisi hatungemjua angel bila Mercy
  14. S

    Kenyans Starting To celebrate Their Music

    Kama vile unavyokijua wewe Hovyo-ovyo Remove the log from your eye first. Then start complaining about the speck in another one eye
Back
Top Bottom