Kenyans Starting To celebrate Their Music

Buses and matatus mainly play reggae music. The upcoming generation majority know hip hop and Rnb from the likes of edsheeran so there is a probability that in 20 years to come bongo flavours will be extinct in Kenya.jina la diamond limeanza kufifia hapa kenya harmonize the proud guy and the likes of ryvanny ndio wanashabikiwa sana
Nimekupenda unaniruhusu nije pm?
 
U can't they are evangalist

A
hujajibu swali.nasema unaweza compare na Nani wa hapa kwetu?
huyo will poul ndo hata haelewek mara gospel mara fleva achilia mbali muliro
nyie wakenya wengi mnasililzia mziki wa gospel lakini wasanii wa kwenu wa gospel nao HAMNAZO
 
Naona kwanza nyie mnaongelelea kuhusu YouTube sana. Mnatudhihaki kwa maana hakuna mziki wowote was Kenya umefikisha 20M views. Hilo tunajua na hatuwezi bisha. Endeleeni kuringa na YouTube views but mjue hizo ni za secular tu. Sasa anza kujigamba na views za muziki wa injili .I dare you.
leta battle ya msanii nthen tucompare na view
huyo rose mhando alipochuja tuka mdampu kwenu .
hata mercy masika Bila angel Bernard asingesikika UKWELI NDO HUO .hata majuzi kwenye interview alikiri WAZi.
nyie hata ma true worshipper hamna yaani mpo hovyo.
 
KI UFUPI KENYA MZIKI BADO SANAA.ni Safari ndefu kuifikia BONGO... Bora Uganda walijikalia kimya.
kuanzia gospel mpaka fleva achilia mbali Ngoma za asili.
nyie kenya mnabebwa na upepo wa promosheni tyu.lakini HAMNA KITU
 
Another . Hebu niambie msanii yeyote wa gospel kutoka bongo ambaye ni maarufu Kenya sasa hivi.
Huwa naangalia vipindi vya gospel kenya ila kiukweli gospel za Ke baadhi ni nzuri lakini nyinginezo zipo kama secular ..Kama wewe humjui goodluck gozbert, Angel Benard, Christina shusho, Paul clement ,joel lwaga then gospel huifuatilii (based on your own Tv stations kama citizens)

By the way kwa gospel ya Kenya labda mercy masika ndo anasikilizwa sana..yupo vizuri sana
 
Kiswahili cha mombasa ambacho ni unique in it's own way
Kiswahili cha Mombasa na wakenya ni cha hovyo Sana, wanatuharibia kiswahili ebu angalia matamshi haya :-

Wanakulaga= kesha wanasema wanakulanga

Kukaanga = Kukaranga

Mtu =Mutu

Alafu hawa watu wanaharibu lugha sana,wanatumia lugha za mitaani sana katika kuwasiliana kwa lugha ya kiswahili na bado wanajitangaza kwamba wao ndio waswahili yaani ni shida hawa jamaa.
 
Wewe kaa kimya. Nataka huyo mwingine anijibu maana wewe ni matusi tu umejaza kwa akili. Unless you are willing to cooperate so we can go step by step.
Sijaanza matusi wewe ,huku tulishasema ni banda letu la kuku,wenye kuku ndo sisi na nyie ndo kuku wenyewe tutawajibu tutakavyo na utajibiwa na yeyote tu kwanza wewe kuku mgeni inabidi tukupige kamba mguuni
 
U can't they are evangalist

A
Another . Hebu niambie msanii yeyote wa gospel kutoka bongo ambaye ni maarufu Kenya sasa hivi.
Naona kwanza nyie mnaongelelea kuhusu YouTube sana. Mnatudhihaki kwa maana hakuna mziki wowote was Kenya umefikisha 20M views. Hilo tunajua na hatuwezi bisha. Endeleeni kuringa na YouTube views but mjue hizo ni za secular tu. Sasa anza kujigamba na views za muziki wa injili .I dare you.
Hatunaga sasa hivi sisi tunatoaga all time greatest
K.O ....... injili umesikia hapa wote wakristo
Wewe kaa kimya. Nataka huyo mwingine anijibu maana wewe ni matusi tu umejaza kwa akili. Unless you are willing to cooperate so we can go step by step.
Unafanya vizuri kumwelezea .hilo nimekuachia kwa maana najua atanitusi vibaya nikimweleza mie
NATUMAINI MJADALA UMEFUNGWA
NB:Kenya mziki umewashinda hata wenzenu hapo chini wamekiri
Screenshot_20181001-085657.jpg
Screenshot_20181001-085734.jpg
Screenshot_20181001-085802.jpg
Screenshot_20181001-085942.jpg
Screenshot_20181001-090239.jpg
Screenshot_20181001-090956.jpg
Screenshot_20181001-090634.jpg
 
Hahahahahahahahahaha,Kenya hamna mtu anaejua kuimba full stop
Hawajui kutumia lugha yenye mvuto katika uimbaji, akiimba kiswahili kilichonyooka kidogo utashangaa matamshi yanalafudhi ya kikuyu,makabila ya Kenya na akijitahidi sana kuimba basi atachanganya kiingereza ambacho hakifikishi ujumbe kwa watu wa lugha ya kiingereza au kiswahili kwakua wanachanganya lugha halisi na lugha za mitaani tena za msimu zilizojaa uhuni
 
Huwa naangalia vipindi vya gospel kenya ila kiukweli gospel za Ke baadhi ni nzuri lakini nyinginezo zipo kama secular ..Kama wewe humjui goodluck gozbert, Angel Benard, Christina shusho, Paul clement ,joel lwaga then gospel huifuatilii (based on your own Tv stations kama citizens)

By the way kwa gospel ya Kenya labda mercy masika ndo anasikilizwa sana..yupo vizuri sana
I know them all and their songs. Also I know that you don't know any Kenyan musician. Nilikuwa nataka yule wa YouTube views aliyekuwa anasema songs za Kenya ziko na 1k views which are only watched by kibera people.
First forget about mercy masika.
Search kibali by Florence andenyi.
You can bring the screenshot and don't forget to screenshot any gospel from the likes of shusho Solomon and muhando which were uploaded from 2011uptodate ndio mniringie na views
 
Kiswahili cha Mombasa na wakenya ni cha hovyo Sana, wanatuharibia kiswahili ebu angalia matamshi haya :-

Wanakulaga= kesha wanasema wanakulanga

Kukaanga = Kukaranga

Mtu =Mutu

Alafu hawa watu wanaharibu lugha sana,wanatumia lugha za mitaani sana katika kuwasiliana kwa lugha ya kiswahili na bado wanajitangaza kwamba wao ndio waswahili yaani ni shida hawa jamaa.
Kama vile unavyokijua wewe
Hovyo-ovyo
Remove the log from your eye first.
Then start complaining about the speck in another one eye
 
leta battle ya msanii nthen tucompare na view
huyo rose mhando alipochuja tuka mdampu kwenu .
hata mercy masika Bila angel Bernard asingesikika UKWELI NDO HUO .hata majuzi kwenye interview alikiri WAZi.
nyie hata ma true worshipper hamna yaani mpo hovyo.
Nani hajui kwamba mlimroga mwenzio. Ushirikina ndio mnajua sana. Hilo hatuwezi washinda. Hata sisi hatungemjua angel bila Mercy
 
Mziki wa kenya ulikuwa juu miaka ya nyuma wakajisahau mziki sabahu kenya walishafika sehem had huku bongo ilikuwa ukienda kufanya collabo Kenya au ukienda ukafanya ngoma kenya au video unaonanekana umepiga hatua kubwa sana kumuzik sijui nini kulitokea wakajisahau hawakutaka kutanua mziki wao tena, wabongi tukakomaa had tumejikuta wapinza wetu kwenye mziki sio Kenya tena bali ni Ningeria na south africa na na bado tukaenda kufanya nao ngoma had sasa wao wanaomba collabo na sisi tizama wanamziki wa kibongo sasa wanaofanya ngoma na wanageria...kwa sasa kenya sio mshindan tena ni sehem ya soko la mziki wetu..

Jambo kubwa la kushukuru ni kuwa mziki wetu umefika kwenye nchi ambazo hazizungumzi kigereza wala kiswahili kama angola na mozambique na hata madagscar na watu wanapiga show full...sasa mziki wa kenya niambue umepenya nchi gan zaid ya Tanzania na ipi ni Identinty ya mziki wa Kenya...!..you might be a sleeping giant but at this point your underdogs to us by far.!
 
Back
Top Bottom